porn movie ndani ya basi Bagamoyo!

porn movie ndani ya basi Bagamoyo!

Lakini si ndio hobi ya wa huko?

(Msiniue, nimeropoka tu)

Hahahaaaaaa!!!!
Leo kampa mkono mkewe jukwaani, inaonekana hakulala nae leo, itakuwa ilikuwa zamu ya mke mdogo
 
Duh mkuu umenikumbusha siku moja tulikua kwenye lecture kumbe kuna mdingi alikua anacheki pono asa kwa bahati mbaya akaongeza sauti aisee hapakutosha ilibidi mbindigi amtupie dogo alie kaa karibu coz alishindwa hata kuzima kwa kiwewe!

we Mandingo si ndio stering mwenyewe?
 
Mbona hapa ubungo mataa huwa tunajaribu kwanza kuona kama inaonekana vizuri kabla ya kununua..
 
Ndo uchizi wetu watz kwa kudhani uhuru hauendi na wajibu!!!!!
 
kwa maadili ya sasa usishangae basi zima walikuwa wanafurahia, ni wewe tu ndo ulikuwa unakereka. Afadhali hata hukumwambia.
 
ungemwelewesha tu kistaarab akileta ubish naamin kuna wengine wengi kama ww ambao hawapendi ila wamenyamaza wanasubr nan aanze, hyo inaitwa spiral of silence, naamin angeleta za kuleta ungepata kampani ya wanaompinga
 
Kazi ya simu ya mchina ndio hiyo.maana hawezi kusurf(brouse)
 
Back
Top Bottom