Porojo kidogo na mtangazaji Abbas el Sabry

Porojo kidogo na mtangazaji Abbas el Sabry

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
POROJO KIDOGO NA MTANGAZAJI ABBAS EL SABRY

Nakumbuka ilikuwa mwaka wa 2009 siku nilipokutana kwa mara yangu ya kwanza na Abbas Al Sabry katika studio za Radio Kheri Morogoro Road na Lumumba Avenue.

Nilikuwa nimealikwa kufanya kipindi cha historia ya uhuru wa Tanganyika.

Mimi na Abbas tulipendana kuanzia siku ile.

Nilipenda jinsi alivyokuwa "sharp," katika kuuliza maswali bila ya yeye mwenyewe kujihariri.

Hii ikakifanya kipindi kile kiwavutie watu wengi.

Abbas alikuwa na kawaida ya kuomba maswali kwa wasikilizaji.

Sehemu hii ikageuka kuwa moto sana kiasi wakati mwingine najuta kwa nini tunakaribisha maswali.

Leo rafiki yangu Abbas alikuja kunihoji kuhusu mgogoro wa Urusi na Ukraine.

Bali...

 
Back
Top Bottom