fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hakika porojo hii sasa ndio ina trend, naomba kuuliza kama yanga ina majini, ambayo ndio inawasaidia kufunga magoli, ingekuwa inafungwa kweli? Hivi Ihefu iliwafungaje Yanga? Hivi yanga ingekuwa inatoa jasho jingi na ku struggle sana kupata magoli? Hayo majini huwa yako wapi wakati huo?
Mnisaidie kujua zaidi jinsi majini yanavyosaidia kufunga magoli
Mnisaidie kujua zaidi jinsi majini yanavyosaidia kufunga magoli