Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
Acha kuwakumbusha bro... Usimuamshe aliyelalaMbumbumbu Fc wamekua wakiteseka Sana nje na ndani ya uwanja kwaiyo wanatafuta namna yoyote ya kupata kujifariji.
Bahati mbaya maeneo yote wame prove failure,kwenye uongozi uwanjani, wachezji n.k kwaiyo tutegemee vitu vingi vya kipuuzi ili wapate faraja.
Mwisho wa Msimu watakua na halimbaya kwakua Mataji yote yanakwenda kwa Yanga.