Porojo ya majini

Porojo ya majini

Mbumbumbu Fc wamekua wakiteseka Sana nje na ndani ya uwanja kwaiyo wanatafuta namna yoyote ya kupata kujifariji.

Bahati mbaya maeneo yote wame prove failure,kwenye uongozi uwanjani, wachezji n.k kwaiyo tutegemee vitu vingi vya kipuuzi ili wapate faraja.

Mwisho wa Msimu watakua na halimbaya kwakua Mataji yote yanakwenda kwa Yanga.
Acha kuwakumbusha bro... Usimuamshe aliyelala
 
Mbumbumbu Fc wamekua wakiteseka Sana nje na ndani ya uwanja kwaiyo wanatafuta namna yoyote ya kupata kujifariji.

Bahati mbaya maeneo yote wame prove failure,kwenye uongozi uwanjani, wachezji n.k kwaiyo tutegemee vitu vingi vya kipuuzi ili wapate faraja.

Mwisho wa Msimu watakua na halimbaya kwakua Mataji yote yanakwenda kwa Yanga.
Usikute na wewe ni kijini kidogodogo....acheni uchawi kenge nyie
 
Mambo ya kijinga yanayoongelewa na wajinga.Mayele mwenyewe amekuwa mjinga kuongelea issue za kininga.Alitakiwa kuwa professional na kujua amefeli wapi.Najua walioanzisha ujinga huu wanataka kumtumia Mayele kupiga pesa lamba2 na wajinga wajinga fc.Muda utaongea lakini Mayele wa phobia ya majini will never be the same again unless achore mstali aanze upya.
Sasa kama Yanga wamemtumia majini akae kimya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rage anaingia kwakua mmoja wa viongozi wa Simba Ahmed Ally amejikuta akijiingiza kwenye mambo yasiyo mhusu.
Kwakua yeye ni msemaji na Kiongozi wa Simba na amejihusisha na mtafaruku uo basi Simba imeingia mojakwa kwa Moja.

Lakini werevu wanaelewa kisaikolojia Simba Ina Hali mbaya maana uwanjani mnahangaika, nje ya uwanja Yanga wameiteka nchi na wanaenda kuzindua ujenzi wa uwanja.
Maana yake katika mambo yahusuyo mpira wa miguu Nchini mmedhibitiwa Kila idara.
Sasa ili mpte relief mnakuja na vi content vya kuokoteza ili kisaikolojia mmpate nafuu kumbe ndio mnaingia katika ule mstari wa Rage kua Simba ni ma mbumbumbu.
Mkuu hapo una majini mangapi? Msitutumie bhana majini ni mjadala tu lisije likapanda Maimuna hapa tukashindwa kulituliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana jioni vip alikwenda live kusema wamemtumia majini mangapi mpaka sasa.?
 
Majini Yana masharti yake ukikosea tu yanalugeuka
 
Mayele kaamua kutumika kuchafua Yanga, ila hakuna aliyewahi kuichafua Yanga akabaki salama. Tutapambana nae
 
Back
Top Bottom