fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
je? unayajua majini ya ihefu?hakika porojo hii sasa ndio ina trend,naomba kuuliza kama yanga ina majini,ambayo ndio inawasaidia kufunga magoli,ingekuwa inafungwa kweli? hivi ihefu iliwafungaje yanga? hivi yanga ingekuwa inatoa jasho jingi na ku struggle sana kupata magoli?hayo majini huwa yako wapi wakati huo?
mnisaidie kujua zaidi jinsi majini yanavyosaidia kufunga magoli
Naona unatoka nje ya maudhui either kwa makusudi au kwa kutoyafahamu. Majini aliyoyasema Fiston Mayele sio ya kuiwezsha Yanga kufunga magoli, bali kumdhuru yeye (Mayele). Hakuna mahali ambapo Mayele amelalamika kuhusu majini yanayosaidia Yanga kufunga magoli. Sasa rudi kwenye maudhui kwa kuzungumzia majini ya washabiki na viongozi wa Yanga yanayotumwa kumdhuru Mayelehakika porojo hii sasa ndio ina trend,naomba kuuliza kama yanga ina majini, ambayo ndio inawasaidia kufunga magoli,ingekuwa inafungwa kweli? hivi ihefu iliwafungaje yanga? hivi yanga ingekuwa inatoa jasho jingi na ku struggle sana kupata magoli?hayo majini huwa yako wapi wakati huo?
mnisaidie kujua zaidi jinsi majini yanavyosaidia kufunga magoli
Mnavyo itwa mbumbumbu Fc, Rage hajakosea Sasa Kiongozi wa Yanga au Shabiki wa Yanga amtumie Jini Mayele ili iweje.Naona unatoka nje ya maudhui either kwa makusudi au kwa kutoyafahamu. Majini aliyoyasema Fiston Mayele sio ya kuiwezsha Yanga kufunga magoli, bali kumdhuru yeye (Mayele). Hakuna mahali ambapo Mayele amelalamika kuhusu majini yanayosaidia Yanga kufunga magoli. Sasa rudi kwenye maudhui kwa kuzungumzia majini ya washabiki na viongozi wa Yanga yanayotumwa kumdhuru Mayele
Aliyesema mambo ya kutupiana majini si Simba ni Mayele. Umemuacha mkeo, kaamua kutoa siri za naumbile yako, majirani wakasikia na kushangaa, unahoji majirani kwa kushangaa? Mtafute mkeo mliyeachana atengue kauli.Mnavyo itwa mbumbumbu Fc, Rage hajakosea Sasa Kiongozi wa Yanga au Shabiki wa Yanga amtumie Jini Mayele ili iweje.
Mayele hakuondoka kwa ugomvi na Yanga, Yanga wamefaidika kwa kumuuza Mayele, Pyramid hawachezi ligi Moja na Yanga, Pyramid hawapo kundi Moja kwenye michezo ya kimataifa.
Simba wamejikuta wameingia kwenye jambo wasilo lifahamu na kulivamia ili kupunguza stress kumbe wanazidi kujiidhalilisha.
Sasa Rage anaingiaje hapo wakati aliyeongea maneno hayo ni Mayele? Nilitegemea utajibu hoja kwa kuielekezea madai ya Mayele. Wewe ndio unasema Mayele hakuondoka kwa ugomvi na Yanga, lakini yeye Mayele anasema mashabiki na viongozi wa Yanga wanamtumia majini. Sasa tukuamini wewe au Mayele?Mnavyo itwa mbumbumbu Fc, Rage hajakosea Sasa Kiongozi wa Yanga au Shabiki wa Yanga amtumie Jini Mayele ili iweje.
Mayele hakuondoka kwa ugomvi na Yanga, Yanga wamefaidika kwa kumuuza Mayele, Pyramid hawachezi ligi Moja na Yanga, Pyramid hawapo kundi Moja kwenye michezo ya kimataifa.
Simba wamejikuta wameingia kwenye jambo wasilo lifahamu na kulivamia ili kupunguza stress kumbe wanazidi kujiidhalilisha.
Mambo ya kijinga yanayoongelewa na wajinga.Mayele mwenyewe amekuwa mjinga kuongelea issue za kininga.Alitakiwa kuwa professional na kujua amefeli wapi.Najua walioanzisha ujinga huu wanataka kumtumia Mayele kupiga pesa lamba2 na wajinga wajinga fc.Muda utaongea lakini Mayele wa phobia ya majini will never be the same again unless achore mstali aanze upya.Naona unatoka nje ya maudhui either kwa makusudi au kwa kutoyafahamu. Majini aliyoyasema Fiston Mayele sio ya kuiwezsha Yanga kufunga magoli, bali kumdhuru yeye (Mayele). Hakuna mahali ambapo Mayele amelalamika kuhusu majini yanayosaidia Yanga kufunga magoli. Sasa rudi kwenye maudhui kwa kuzungumzia majini ya washabiki na viongozi wa Yanga yanayotumwa kumdhuru Mayele
Rage anaingia kwakua mmoja wa viongozi wa Simba Ahmed Ally amejikuta akijiingiza kwenye mambo yasiyo mhusu.Sasa Rage anaingiaje hapo wakati aliyeongea maneno hayo ni Mayele? Nilitegemea utajibu hoja kwa kuielekezea madai ya Mayele. Wewe ndio unasema Mayele hakuondoka kwa ugomvi na Yanga, lakini yeye Mayele anasema mashabiki na viongozi wa Yanga wanamtumia majini. Sasa tukuamini wewe au Mayele?
View attachment 2902318
Mbona ni kama vile hamtaki kuamini kwamba aliyeanzisha madai haya ni Mayele mwenyewe? Kwani kama kuna timu Tanzania inataka kumnunua Mayele kutoka Pyramids, inashindwa nini kumchukua eti hadi ianzishe madai haya?... Najua walioanzisha ujinga huu wanataka kumtumia Mayele kupiga pesa
Kwa hiyo wote waliojiingiza kwenye mjadala wa Mayele ni wajinga, akiwemo Haji Manara msemaji na mshauri wa Yanga, ambaye aliyejiingiza kumsihi Mayele aifute post?Rage anaingia kwakua mmoja wa viongozi wa Simba Ahmed Ally amejikuta akijiingiza kwenye mambo yasiyo mhusu.
Kwakua yeye ni msemaji na Kiongozi wa Simba na amejihusisha na mtafaruku uo basi Simba imeingia mojakwa kwa Moja.
Mayele ni mbumbumbu?. Simba wala hawakuwa wakijua kinachoendelea. Siri zimetoka ndani ya nyumba😂😂Mbumbumbu Fc wamekua wakiteseka Sana nje na ndani ya uwanja kwaiyo wanatafuta namna yoyote ya kupata kujifariji.
Bahati mbaya maeneo yote wame prove failure,kwenye uongozi uwanjani, wachezji n.k kwaiyo tutegemee vitu vingi vya kipuuzi ili wapate faraja.
Mwisho wa Msimu watakua na halimbaya kwakua Mataji yote yanakwenda kwa Yanga.
oh kumbe!Naona unatoka nje ya maudhui either kwa makusudi au kwa kutoyafahamu. Majini aliyoyasema Fiston Mayele sio ya kuiwezsha Yanga kufunga magoli, bali kumdhuru yeye (Mayele). Hakuna mahali ambapo Mayele amelalamika kuhusu majini yanayosaidia Yanga kufunga magoli. Sasa rudi kwenye maudhui kwa kuzungumzia majini ya washabiki na viongozi wa Yanga yanayotumwa kumdhuru Mayele