gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Habari wakuu..
Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis.
Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta kuapgrade usafiri wangu nnaotumia so kwa sbb nilishapata mteja nikaona kabla ya kuuza sbr niangalie chaguo mahususi la gari ambao ntaongeza ela kidogo nipate gari ya heshima atleast.choice ya kwanza ikaja brevis sbb nilishawahi kutest kuendesha nikaipenda kiac..
Lakini baada ya kuingia kwenye kusearch mambo niliyoyakuta yalinikatisha tamaa nikaona niulize kwa wadau wajuzi wa magari au haswa wenye uzoefu na izi gari aina ya brevis..
Maana kuna moja niliipenda ila ilitangazwa kati ya august mwaka jana yani 2017 mil 7.5 na kwakua niliipenda ilivyo na rangi yake nikasema sbr niulize kama ipo..kuuliza kweli nilikuta ipo haijauzwa ila sema baada kuendelea kuitumia kwa saivi kaigongesha so sikua interested tena..ingawa najua hata kwa 6 kama ingekua vile vile angenipa..ingawa kaigongesha ila bado mbichi kabisa..
Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..unakuta brevis mbichi kabisa ukiuliza bei utacheka mwenyewe..je zinasumbua?zina matatizo ya ovyo ambayo yanakinaisha?au ndo umiliki wake yake na ulaji wa mafuta una tatiza..je nini tatizo juu ya hizi gari adi zipolomoke bei kwa kasi namna hii haswa used yani second hand..na bado soko lake pia kuwa shida..
Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.