Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

gidume

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
743
Reaction score
915
Habari wakuu..
Brevis ni gari nzuri sana na kwa anaejua magari ukimpa choices za gari tatu ambayo moja yake itakua kuna brevis bas hatosita kuichagua brevis.

Ni wazi kuwa juzi nilikua natafuta kuapgrade usafiri wangu nnaotumia so kwa sbb nilishapata mteja nikaona kabla ya kuuza sbr niangalie chaguo mahususi la gari ambao ntaongeza ela kidogo nipate gari ya heshima atleast.choice ya kwanza ikaja brevis sbb nilishawahi kutest kuendesha nikaipenda kiac..
Lakini baada ya kuingia kwenye kusearch mambo niliyoyakuta yalinikatisha tamaa nikaona niulize kwa wadau wajuzi wa magari au haswa wenye uzoefu na izi gari aina ya brevis..

Maana kuna moja niliipenda ila ilitangazwa kati ya august mwaka jana yani 2017 mil 7.5 na kwakua niliipenda ilivyo na rangi yake nikasema sbr niulize kama ipo..kuuliza kweli nilikuta ipo haijauzwa ila sema baada kuendelea kuitumia kwa saivi kaigongesha so sikua interested tena..ingawa najua hata kwa 6 kama ingekua vile vile angenipa..ingawa kaigongesha ila bado mbichi kabisa..

Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..unakuta brevis mbichi kabisa ukiuliza bei utacheka mwenyewe..je zinasumbua?zina matatizo ya ovyo ambayo yanakinaisha?au ndo umiliki wake yake na ulaji wa mafuta una tatiza..je nini tatizo juu ya hizi gari adi zipolomoke bei kwa kasi namna hii haswa used yani second hand..na bado soko lake pia kuwa shida..

Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.
 
5682e20e948d2855028afbd39f9f3646.jpg
 
Consumption ya mafuta ndio shida.


Kama ushatumia alteza au subaru brevis utaiweza kama ulikuwa unatumia runx passo au ist ukaja kwa brevis utachanganyikiwa hasa kipindi hiki cha vyuma kukaza.
Anhaa ila inawezekana kwa altezza itakuwa inakunywa zaidi..kwan inaweza ikawa na consumption ya kms ngapi kwa liter 1..
 
Hayo magari madogo yenye injini kubwa nuksi sana wakati wa kuuza nakumbuka niliuza GX 100 yangu nzuri balaa kwa milioni 3.5
Duuh balaa..inshu inakua ni wese tu? Au wahitaji wanaopt kitu kingine labda brand?
 
Vyuma kaka sio kila gari limeshuka sana,mambo ya bei hata mahindi yapo chini

Naimani hata bei za nyumba zipo chini pia

Kufikia 2019 tutanunua hata kwa laki tu
Ni kweli mkuu lakini kuna aina za gari nyingine unaweza wekea mkazo kwenye bei na mtu akachukua..lakini kwa hii naona mambo tofauti ukilia tu mwenye gari anashusha bei..
 
CC 2500 unafikiri mchezo nini?
Hiyo gari ni nzuri pia inatbia ya kujipandisha na kujishusha bei yenyewe kulingana na mahitaji ya soko, miaka 3 iliyopita brevis imeshuka bei kutokana na ujio wa hizi macX, grande 110, alteza bila kuisahau ist na raum kumechangia sana brevis kuporomoka bei, lakini kwa miezi 6 iliyopita ikaja kurudi tena kwenye ushindani sasa sijui ni kwa nini imeporomoka tena.
Kikubwa sana kwenye hii sector ya automobile ni demand ya soko, usishangae leo hii Bajaji ya TVS kuuzwa bei sawa na hayo magari, Jibu ni kwamba Bajaji inahitajika sana kwenye matumizi ya kawaida na kuna income kwa wamiliki wake.
 
Duuh balaa..inshu inakua ni wese tu? Au wahitaji wanaopt kitu kingine labda brand?
sijui tatizo ni nini maana hiyo GX 100 iko vizuri sana mpaka aliyonunua alikuja kunishukuru hata wese inakula kawaida tofauti na gari niliyonayo sasa hivi but kuuzika ilikuwa ngumu sana niliiweka sokoni mwaka mzima watu wanachungulia wanatereza sasa sijui zina mkosi gani kitaani yaani bora hata Vitz inauzika kirahisi na kwa bei nzuri
 
Back
Top Bottom