Kwa highway 13.8liters/100km kwa town 8.77liters/100Consumption yake inarange ngapi kms per 1 litre..
Tena ndoa ya Kikristu isiyo na talaka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti umefunga nalo ndoa!
Hii ni gari gani mkuu?Na yenyewe inakula wese ka brevis?
Unajua chochote khs rotary engine?Jifunze kwanza then tuendeleze discussions hapa.
Acha habari za kua fundi,ingekua uko vzr ungeijua rotary engine na kwanini kula oil sana ni kawaida yake tu.Mkuu mimi ni fundi japo wewe ufundi umeujulia darasani lkn mimi nlianza tangia mdogo kufundishwa na hadi leo hii nimewiva
Nyie wa madarasani mnafunzwa kwa kalamu
Lkn mimi ni kwa practicle tena mzee wangu alikua ni mkali saaana ukifungua Nut au Bolt kabla hujaifuta hio spana unakula kofi chapchap[emoji3]
Ukijibiwa nisitueConsumption yake inarange ngapi kms per 1 litre..
Cc ngap upate km zote hzoDuuh sijawahi tumia Opa kiasi cha kuzijua kiundani ila kwa ushauri wangu kama unataka kununua Opa basi hii ya 1.8 L (1ZZFE) petrol engine.
Sababu
1.ni nyingi hivyo upatikanaji wake ni rahisi hata mpya kabisa unapata kwa bei poa
2.ina nguvu(impressive engine power) zaidi kulinganisha na ile nyingine
3.kikubwa zaidi ipo economy kuliko ile nyingine kwa kubalance mafuta vizuri(12-13km/lita1)
sidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.Atleast altezza inaeleweka ni 10kms per ltr..kuliko hiyo mara wengine 6 per ltr wengine 9 yan hamna jibu sahihi..
Zilikua zinauzika vizuri sema model ya injini ndo shidaNimewahi kuteseka kuuza gx.100 kwa miaka 2 sikupata mteja,ile gari inaogopwa sana,walio nazo nawapa saluti.
Gari mfano Toyota Alphard cc2400 consumption ya mafuta kwa lita ni vipi kwa mchanganuo wa long safari na mjini kwenye msongamano. Tafadhali nijulishe na mapungufu /faida ya gari hizo ikiwa una uelewa nazo mkuu.Ni kweli kabisa,mfano land cruiser vx v8.Lina cc 5000.
Lita 1 moja inatembea kilomita 10 kwa safari za mbali(high way).
Lita 1 kwa kilomita 8 kwa safari za mjini kwenye barabara zenye foleni.
Sidhani kama umemuelewa mleta mada.Yani utafiti wako ni gari hiyo moja na dalali wako huyo mmoja ndio kipimo tosha kuwa Brevis zimeporomoka bei au unataka kujua bei? Yani kipimo chako cha kujua bei ya magari ni magari chakavu na yaliyogongeshwa yaliyopo mikonini mwa watu?
Ingia Trade car view chagua gari brevis ya dola 2500 japo hii pia imechoka ipigie garama zake zote mpaka ikufikie mkononi ndio utajua brevis ni milioni 6 au 7.
Brevis inatengenezwa Na kiwanda gani kilichofungwa?Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Maana yake hapo ni grease inalainisha vyumaBullar nipe elimu kidogo kwenye hiyo Picha, hata mie naizimia Sana hiyo gari, kabla sijajitosa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo sawa jua ukizidisha tu Brevis inafungua koromeo.