Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

196d2fe35a8c2819591dd5330ed98a7c.jpg
Hii ni gari gani mkuu?Na yenyewe inakula wese ka brevis?
 
Unajua chochote khs rotary engine?Jifunze kwanza then tuendeleze discussions hapa.

Mkuu mimi ni fundi japo wewe ufundi umeujulia darasani lkn mimi nlianza tangia mdogo kufundishwa na hadi leo hii nimewiva
Nyie wa madarasani mnafunzwa kwa kalamu
Lkn mimi ni kwa practicle tena mzee wangu alikua ni mkali saaana ukifungua Nut au Bolt kabla hujaifuta hio spana unakula kofi chapchap[emoji3]
 
Acha habari za kua fundi,ingekua uko vzr ungeijua rotary engine na kwanini kula oil sana ni kawaida yake tu.
 
Yani utafiti wako ni gari hiyo moja na dalali wako huyo mmoja ndio kipimo tosha kuwa Brevis zimeporomoka bei au unataka kujua bei? Yani kipimo chako cha kujua bei ya magari ni magari chakavu na yaliyogongeshwa yaliyopo mikonini mwa watu?
Ingia Trade car view chagua gari brevis ya dola 2500 japo hii pia imechoka ipigie garama zake zote mpaka ikufikie mkononi ndio utajua brevis ni milioni 6 au 7.
 
Duuh sijawahi tumia Opa kiasi cha kuzijua kiundani ila kwa ushauri wangu kama unataka kununua Opa basi hii ya 1.8 L (1ZZFE) petrol engine.
Sababu
1.ni nyingi hivyo upatikanaji wake ni rahisi hata mpya kabisa unapata kwa bei poa
2.ina nguvu(impressive engine power) zaidi kulinganisha na ile nyingine
3.kikubwa zaidi ipo economy kuliko ile nyingine kwa kubalance mafuta vizuri(12-13km/lita1)
Cc ngap upate km zote hzo
 
Atleast altezza inaeleweka ni 10kms per ltr..kuliko hiyo mara wengine 6 per ltr wengine 9 yan hamna jibu sahihi..
sidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.
 
Hizi gari nzuri ikiwa mpya, kula wese ni balaa lingine, ila inachoka haraka sana hasa body na mbaya zaidi ikiwa unatembelea njia za vumbi, mwaka tuu hulitamani
 
Ni kweli kabisa,mfano land cruiser vx v8.Lina cc 5000.
Lita 1 moja inatembea kilomita 10 kwa safari za mbali(high way).
Lita 1 kwa kilomita 8 kwa safari za mjini kwenye barabara zenye foleni.
Gari mfano Toyota Alphard cc2400 consumption ya mafuta kwa lita ni vipi kwa mchanganuo wa long safari na mjini kwenye msongamano. Tafadhali nijulishe na mapungufu /faida ya gari hizo ikiwa una uelewa nazo mkuu.
 
Yani utafiti wako ni gari hiyo moja na dalali wako huyo mmoja ndio kipimo tosha kuwa Brevis zimeporomoka bei au unataka kujua bei? Yani kipimo chako cha kujua bei ya magari ni magari chakavu na yaliyogongeshwa yaliyopo mikonini mwa watu?
Ingia Trade car view chagua gari brevis ya dola 2500 japo hii pia imechoka ipigie garama zake zote mpaka ikufikie mkononi ndio utajua brevis ni milioni 6 au 7.
Sidhani kama umemuelewa mleta mada.
 
Back
Top Bottom