Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Hizi gari Ziko very comfortable ila tatizo ni delicate sana body yake, zinakula sana mafuta na pia kuendesha zaidi ya miaka mitatu ni majaaliwa!

Hii gari hata Ukinunua Leo ukataka uiuze kesho still Bei utauza kwa Hasara sana, na wengi wanaonunua hizi ni wale wanaonunua gari kwa Mara ya kwanza kwny maisha Yao!
 
Nimeona wadau wengi hapo wamezungumzia kuhusu Fuel Consumption but mbona similar cars kama Mark X bei yake iko juu pamoja na kuwa na cc2500?
tatizo ni fuel consumption na si CC maana gx100 ina cc 1988 tu lakn inakula balaa
 
Weka bei na picha ya alteza mkuu tusaidiane matatizo
 
Ingekua hivyo akuna mtu angemiliki passo..watu wanaoendesha passo unadhani wanapenda..acha dharau na kazi za watu..mil 6 au 7 brevis kutoka japan..?
 
sidhan kama kuna ukweli..nina jamaa ana alteza kuja kurudi job mafuta ya 20 na umbali ni km 32.
Mwambie akwambie ukweli consumption ya gari lake kwa data..mwengine akiweka hivyo haimaanishi kuwa anamaliza adi tank..inabaki reserve may be kwa mizunguko after work or anataka kumaintain gauge yake kutokana na level yake yy...izi gari sio kama zinabwia mafuta kilive..sa kama mtu anacomplain gari inakula 10 km per 1 ltr huyo atakiwi amiliki gari..watu wanaendesha range 4.0 inakula adi 5 kms na wanaona sawa na sio kama mtu ana hela saaana kivile..
 
Kwanza zina cc kubwa kwamaana ya nguvu ya ingini kwa hiyo matumizi ya mafuta yako juu sana
 
Weka bei na picha ya alteza mkuu tusaidiane matatizo
Alteza haina complains ya namna yoyote ile kwa watumiaji..hamna mtumiaji niliyemsikia anasema inakula mafuta hata siku moja wala ubovu ambao unafanya iwape wasiwasi watumiaji..ila nnavyojua zipo aina mbili..kuna six cylinder na 4 cylinder..ukinunua six cylinder kibongo bongo ndio sawa na ndoa ya kikristo unaweza ukapata shida kutrade sana maana haina pulling kama four cylinder ingawa utumiaji wa mafuta ni kama wa four cylinder tu..zinapishana performance..aim ya vijana kuchukua alteza ni performance..so they opt for four cylinder..n not six..
 
Soma tena nilichoandika
Anhaa nimeshasoma chief..ila ni hivi.kama mdau juu alivyosema watumiaji wa hizi brevis wengi wameibuka kama watumiaji wa gari ya kwanza..me siamini kama kuna mtu adi leo anaagiza brevis japan as a second car..tuachane na mambo ya kuagiza..kwa soko la bongo brevis imekua gari la ovyo sana katika kushuka kwa bei ukilinganisha ata na toyota runx,premio au allion kwa classes yake..jaribu kutafuta premio kwa budget ya mil 9..yan unaweza ukapata ila kwa ugumu sanaa..tofauti na brevis saiv ata nikisimama na 5 mil nikiwa na subira naweza nikapata gari mbichi kabisa..na huo kuna mdau ameeleza kuwa kuna b mkubwa anauza hiyo gari 5 mil na bado anahangaika kupata mteja..
 
Wamezoea kuendesha bajaji itakua
 
Hayo magari madogo yenye injini kubwa nuksi sana wakati wa kuuza nakumbuka niliuza GX 100 yangu nzuri balaa kwa milioni 3.5
Mkuu gx 100 yako consumption yako ilikuaje tumalize ubishi humu.
 
Bado zinapatikana izi

Wengi wanaozitumia na kuzimiliki hizi ni "land rover enthusiast" kwa hiyo kukuuzia ni tabu sana.
Kwasababu hazizalishwi tena na l kiwanda.
Kutokea kuanza kujengwa land rover series mwaka 1948 hadi defender,jumla zimejengwa gari 2,000,000 hadi mwaka 2015.
Kwa hiyo hazizalishwi tena.Takwimu zinaonyesha ni asilimia 85 ya land rover series na defender zipo barabarani toke zile za kwanza.
 
Vyuma kaka sio kila gari limeshuka sana,mambo ya bei hata mahindi yapo chini

Naimani hata bei za nyumba zipo chini pia

Kufikia 2019 tutanunua hata kwa laki tu
Nyumba laki una utan wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…