Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Gari mfano Toyota Alphard cc2400 consumption ya mafuta kwa lita ni vipi kwa mchanganuo wa long safari na mjini kwenye msongamano. Tafadhali nijulishe na mapungufu /faida ya gari hizo ikiwa una uelewa nazo mkuu.

Lita 1/km 10 kwa safari ndefu.
Na lita 1/km 8 kwa mjini.
Ina horsepower 150.Ina uwezo wa kukamata kasi kutoka 0-100km/saa, kwa sekunde 11.mkuu sio mbaya sana.Japo sina uzoefu nazo sana ila ni nzuri kwa familia.
 
Acha habari za kua fundi,ingekua uko vzr ungeijua rotary engine na kwanini kula oil sana ni kawaida yake tu.

Kaka hakuna kitu kinaitwa rotary engine ati ukadai wewe kawaida yake kula oil

Kaka hakuna engine inaokula wala kunywa oil isipokua iwe ina hitilafu
Kaka hata cherehani ikianaza kua nzito ina mafuta yake
Aliokudanganya ENGINE ya gari kula au kunywa oil huyo ni kiboko yako
Wewe unaonesha utakua mtoto wa Mfalme wa saud arabia
Yaani ukifika kituoni unaweka mafuta na oil
Duuuuhh!!!!!
 

Hapo ulipo nafsi yako inakusuta daily unakwea daladala ishukuru
Zaidi serikali kuwapeni Mwendo kasi
***** dar %95 za magari ni Ist vox vits na twingine tu suzuki
Unauwezo wewe ati
Ukatoka segerea na MarkII GX110 daily uende nayo kazini[emoji3][emoji3][emoji3]
Dar kuku ikichinjwa hata nyongo haitupwi[emoji3]
Nyambafu kweli ww unataftia jina humu nawe uonekane haya matoto ya bongo fleva tabu tu
 
Kwa shilingi milioni 4 ,napata gari kwa MTU anayeuza ?gari km RunX ,Allex au Vitz
 
Segerea hakuna mwendokasi acha kututia aibu wa mikoani
 
Sawa fundi mchundo,kama hakuna rotary engine no more discussions.
 
Simple tu,COCK SUCKER.
 
Habari wakuu..


Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..
Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.
umenivunja mbavu! Brevis ni gari yenye heshima mjini??? mji gani huo?
 
sijui tatizo ni nini maana hiyo GX 100 iko vizuri sana mpaka aliyonunua alikuja kunishukuru hata wese inakula kawaida
Madalali na mitandao ya kijamii inapeperusha sana wateja,nilinunua gx 100 2011 kwa mhindi,huwezi amini na kuipenda kote niliiuza 2014 kwa tabu sana.
Yameshapewa majina mabaya ya zimwi mafuta.
 
Madalali na mitandao ya kijamii inapeperusha sana wateja,nilinunua gx 100 2011 kwa mhindi,huwezi amini na kuipenda kote niliiuza 2014 kwa tabu sana.
Yameshapewa majina mabaya ya zimwi mafuta.
Uliiuza kwa ngapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…