Messi Lionel
Senior Member
- Jan 11, 2018
- 170
- 159
Gari yenye CC kuanzia 200 hadi moyo huwa unastuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari mfano Toyota Alphard cc2400 consumption ya mafuta kwa lita ni vipi kwa mchanganuo wa long safari na mjini kwenye msongamano. Tafadhali nijulishe na mapungufu /faida ya gari hizo ikiwa una uelewa nazo mkuu.
KYVyuma vikikaza vinalainishwa na nini?
kama utaenda kwa mwendo usiozidi 120 km/hrNadhani ni zaidi ya hizo km, carina ipo vizuri sana kwenye wese asee.
Noma sana inaenda hadi 16/L
Daah yenye cc 200?hio itakua ni zile pikipiki za FEKONGari yenye CC kuanzia 200 hadi moyo huwa unastuka
Ndio maana zimepungua mtaani
Acha habari za kua fundi,ingekua uko vzr ungeijua rotary engine na kwanini kula oil sana ni kawaida yake tu.
Hahah aisee we jamaa acha uwongo wa mchana kweupe.Kweli nina wasiwasi kama kweli una gari wewe.
Nimekua na gx 110 natoka Segerea mpk Mikocheni kila siku kwa miaka zaidi ya 3.Lita 1 ilikua inaenda km 9 bila shida kabisaa.
Usiwe unahadithiwa khs magari mkuu,utakuja kuumbuka aisee.
Labda vitzKwa shilingi milioni 4 ,napata gari kwa MTU anayeuza ?gari km RunX ,Allex au Vitz
Segerea hakuna mwendokasi acha kututia aibu wa mikoaniHapo ulipo nafsi yako inakusuta daily unakwea daladala ishukuru
Zaidi serikali kuwapeni Mwendo kasi
***** dar %95 za magari ni Ist vox vits na twingine tu suzuki
Unauwezo wewe ati
Ukatoka segerea na MarkII GX110 daily uende nayo kazini[emoji3][emoji3][emoji3]
Dar kuku ikichinjwa hata nyongo haitupwi[emoji3]
Nyambafu kweli ww unataftia jina humu nawe uonekane haya matoto ya bongo fleva tabu tu
Unayo?nione picha yakeLabda vitz
Sawa fundi mchundo,kama hakuna rotary engine no more discussions.Kaka hakuna kitu kinaitwa rotary engine ati ukadai wewe kawaida yake kula oil
Kaka hakuna engine inaokula wala kunywa oil isipokua iwe ina hitilafu
Kaka hata cherehani ikianaza kua nzito ina mafuta yake
Aliokudanganya ENGINE ya gari kula au kunywa oil huyo ni kiboko yako
Wewe unaonesha utakua mtoto wa Mfalme wa saud arabia
Yaani ukifika kituoni unaweka mafuta na oil
Duuuuhh!!!!!
Simple tu,COCK SUCKER.Hapo ulipo nafsi yako inakusuta daily unakwea daladala ishukuru
Zaidi serikali kuwapeni Mwendo kasi
***** dar %95 za magari ni Ist vox vits na twingine tu suzuki
Unauwezo wewe ati
Ukatoka segerea na MarkII GX110 daily uende nayo kazini[emoji3][emoji3][emoji3]
Dar kuku ikichinjwa hata nyongo haitupwi[emoji3]
Nyambafu kweli ww unataftia jina humu nawe uonekane haya matoto ya bongo fleva tabu tu
Anaharibu discussion tu hapa,achana nae mkuu.Segerea hakuna mwendokasi acha kututia aibu wa mikoani
umenivunja mbavu! Brevis ni gari yenye heshima mjini??? mji gani huo?Habari wakuu..
Hivyo basi em tujadiliane ni nini haswa kinafanya hii gari yenye heshima mjini kushuka bei kwa kasi kubwa namna hii..
Karibuni kwa maoni wajuzi wa mambo.
Madalali na mitandao ya kijamii inapeperusha sana wateja,nilinunua gx 100 2011 kwa mhindi,huwezi amini na kuipenda kote niliiuza 2014 kwa tabu sana.sijui tatizo ni nini maana hiyo GX 100 iko vizuri sana mpaka aliyonunua alikuja kunishukuru hata wese inakula kawaida
Uliiuza kwa ngapi mkuu?Madalali na mitandao ya kijamii inapeperusha sana wateja,nilinunua gx 100 2011 kwa mhindi,huwezi amini na kuipenda kote niliiuza 2014 kwa tabu sana.
Yameshapewa majina mabaya ya zimwi mafuta.
no comment kamandaKwako gari gani yenye heshima mkuu..na ww unatumia gari gani?