Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Mkuu nisome vzr pale juu,mi ndio nimemwambia huyo jamaa anaesema yeye ni fundi, rotary engine iko kwenye mazda rx 8 ye akabisha nikamwambia basi poa hakuna haja ya discussion tena.
Mbona nikifuatilia naona kama unambishia jamaa kuwa hakuna rotary engine ivi...? Anyways in any case now tunajua kuwa ipo na inatumiwa sana na mazda.

Na ni kweli, Rotary engine inakunywa oil, na nimefuatalia hii ishu wakati nlikuwa nachagua between is200 na mazda rx8, nimegundua kuwa sio tatizo la engine, bali ni kawaida yake kabisa, ina mix mafuta na oil kwa ajili ya kulainisha seals. uzuri wa rotary ni kuwa ina generate more power, lakini mafuta nayo ishu
 
Cheki fresh mkuu yeye ndie aliyekua anabisha,nimemwambia khs hio gari kula oil balaa anakataa,nilikua mazda rx 8 ya 2005 manual cha moto kwny oil nilikiona aisee.

Na kina nguvu sana aisee ogopa gari ya cc 1300 inayoweza kugenerate more than 200hp bila tunings wala nini.
 
Kuna magari eco mode inapinguza idadi ya cylinders zinazofanya kazi, mfano kama ilikuwa V8 inakata pengine 2 zinabaki 6. Still kuna watu ukimpa gari kama hio atakwambia zinakunywa mafuta bila kuzingatia technology ilokuwepo kwenye gari
 
sawa....

Unajua mkuu kuna kitu kingine ambacho watu wanashindwa kukichunguza. Hizi gari zenye cyllinders kidogo, kisha zikawa zina produce more power, reliability inakuwa ishu kabisa, tofauti na ukiikuta V6 au 8 halafu ina more power.
 
Kwa speed ipi mzee..au ndo nyie mnaogembea 120 katikati ya mji.
 
sawa....

Unajua mkuu kuna kitu kingine ambacho watu wanashindwa kukichunguza. Hizi gari zenye cyllinders kidogo, kisha zikawa zina produce more power, reliability inakuwa ishu kabisa, tofauti na ukiikuta V6 au 8 halafu ina more power.
Aisee hio ni kweli kabisaa mkuu,hata hio mazda wanashauri ikifika km 100,000 ubadilishe engine itaanza kuzingua tu,mi ilifika km 87,000 nikamsukumia mhindi aisee.

Kuna jamaa ana LC V8 ya 2003 ina km 620,000 na iko poa kabisaa jino 1 tu ndukii,na jamaa aliinua ikiwa na km 193,000
 
Kuna magari eco mode inapinguza idadi ya cylinders zinazofanya kazi, mfano kama ilikuwa V8 inakata pengine 2 zinabaki 6. Still kuna watu ukimpa gari kama hio atakwambia zinakunywa mafuta bila kuzingatia technology ilokuwepo kwenye gari
Hiyo ni kweli kabisa ndugu.
 

Toyota kwa reliability namvulia kofia.... gari zake hazina macomplication meengi, zipo standard kabisa.

Kwa maisha ya kwetu kufika io kilomita 100,000 rahisi tu 😀 😀 😀 ni gharama kuwa nalo....
 
Kuna kitu watu wengi tunakosea pale tunapoamua kununua magari. Ni vigumu saana kupata gari lenye kila kitu unachohitaji in the same package. Ukitaka performance kwenye gari, jua utasacrifice fuel economy. Ukitaka fuel economy, performance ni tatizo. Ukitaka comfort, jua handling unapoteza. Na vingine kama hivyo. Na from experience, gari ambazo ni comfortable na luxurious mara nyingi zinakua na engine kubwa, sababu kuna vitu vingi saana vinavyoongeza uzito. eg power seat, seat heater, leather seats na vingine vingi. Pia gari luxurious zimetengenezwa kwa watu ambao kwao mahitaji sio pesa, so hawawazi saana mafuta.

Brevis ilitengenezwa kwa mtazamo huo. Kujaribu kuwapata Wajapan gari lenye comfort na performance ya compact executive salon za Ulaya kama 3 series, C class na A4. Ingawa haikufanya vizuri kwenye mauzo, na hiyo kazi ya kupambana na kina 3 series na C class ikaachiwa Lexus Is ambayo mwanzo (before 2005) ilikua haiuzi Japan kama lexus, bali Altezza. Pia kama jina lake Brevis linavyomaanisha, ni brief. So ilizalishwa kwa muda mfupi.

Sasa sisi hatufuatilii hayo yote. 1JZ na 2JZ engine zina matumizi makubwa kidogo ya mafuta kulinganisha na engine tulizozoea za kina Corolla na salon cars ndogo ndogo. Ndio maana tunalalamika. Vile demand kubwa ya used car ipo Africa, hizi gari zenye matumizi makubwa ya mafuta zinashuka bei saana sababu hatuziwezi. Wengi wetu kipato chetu ni kidogo.
 
Kuna watu huwa wananunua JZX100 na JZX110 wakidhani ni GX100/110. Hao huwa wanalalamika balaa. JZX inakua engine kubwa as nyingi zina 1JZ au 2JZ ambazo ulaji wake wa mafuta ni mkubwa kidogo kulinganisha na GX100/110 zenye 1G
 
Kwa akili yakawaida tu mafuta yatachanganywaje na maji
 
Reactions: y-n
Huyu mdau nimemuelewa sana aisee..
 
Huyu mdau nimemuelewa sana aisee..
 
Nadhani hoja hii inafunga mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…