Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Mark X ina mfumo mzuri wa ulaji mafuta maana ni V6 sio inline 6 kama brevis.
Mark x hiyo v shaped 6 cylinder ni kwa ajili ya kupunguza vibration..walichofanya ni kupunguza final gear ratio(ina gear 6) ndio maana mark x highway inafika hadi 15km/l kama ni mpya..ila brevis gear final gear ratio (gear 5) ni kubwa hivyo highway inafika 13km/l ikiwa mpya...
 
mkuu hizo gari zinakunywa mafuta sana ndo mana kodu TRA wameweka ndogo sababu wanajua utachangia kwenye mafuta


mfano brevis ya 2002 kodi na reg ni milion 5 ukiweka gharama za kununua gari na kila kitu bado inacheza na bei ya spacio tu
 

Comrade umeelezea vizuri lakini kifupi na kwa utulivu wa hali ya juu!Big Up brother kwa Elimu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ndugu yangu usinikumbushe ya gx100- japo ilikuwa kavu cc 1988 nadhan,kuiuza nilihaha,siku naiachia sikuamini,ila road hizi gari ni tamu sana,ukilipaki sehem unakuwa umepaki chuma kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True,hizi ndinga uwe na ndefu bwana utazipenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeona wengi wameongelea suala la ulaji wa mafuta kwa brevis kuchangia bei yake kushuka katika soko lakin ukweli halisi siyo huo..

kilichofanya brevis kushuka katika soko ni sisi watanzania kutojua magari kiundani na kuishia kuyaharibu na kusema gari fulani ni kimeo halifai na kupelekea resale value ya gari husika kushuka

kwenye kesi ya brevis hapa yanaingia magari yote yanayotumia engines zenye mfumo wa D4 ..mfumo wa D4 ulikuja kuwa succesor wa mfumo wa VVT-I (variable valve timing with inteligent) kama ujuavyo jinsi mfumo unavyokuwa mpya na ndio technologia inakuwa juu zaidi

sasa huu mfumo wa D4 upo so sensitive kwenye uchaguzi wa oil yaani kama engine yako ni ya huu mfumo basi jua utatakiwa kutumia recomended oil only.. na ukichanganya maoil ambayo siyo recomended kwenye hizi engines za D4 they wont take long to dissapoint

na ndipo hapo watu wanaanza kuzilamu hizi engines kuwa ni vimeo kumbe ni sisi wenyewe matumizi yetu ndyo yanaziuwa hizi engines

hitimisho... kwa maisha marefu ya gari yako hakikisha unatumia manufacture recomended engine oil.. ATF fluid na vilainishi vingine

brevis ni gari nzuri kama ukiitunza
 
Mzee,Vx v8 cc 5000,model 200 na model 300,kama yale ya serikali(kilimo kwanza).
Yanatumia lita 1/10 km kwa safari ndefu(high way) na lita 1/8 km kwa mizunguko ya mjini.
Amini mkuu,usikariri.
Usidanganye watu wakaumia mkuu nina ufahamu/uzoefu mzuri wa hizi gari wa zaidi ya miaka mitano.
 
mkuu usimbishie mdau... inaonekana huijui rotary engine hizi ni pistonless engines... kwa jinsi zilivyotengenezwa humo ndani kuna vitu vinaitwa oil injectors vimewekwa kwa ajili ya kunyunyuzi oil kulubricant seals za kwenye combustion chambers it sound crazy eeeh oil in combustion chamber but dats how realy this rotor engins work na the more hicho kitendo kinafanyika ile oil ina kuwa burned along wit gasolise
dats why rotor engines kuongeza oil kabla ya muda wa service ni kitu cha kawaida sana.. refer matatizo ya mazda rx7 & rx8

unaweza pitia na hapa Did they fix the reliability and oil consumption for Rotary? The rx8 ate a lot o... | Hacker News

RE: Oil Consumption - Rotary Engine Wiki

hasa hii ukiisoma ndio utaelewa zaidi mdau
 
tatizo sio Gari bali ni Wabongo na Madalali wengi wa Magari ambao upeo wao wa kujua Magari mdogo sana kiasi kwamba wanapotosha sana wateja.
 
HAPA SIO KWELI MKUU GX100/110 MJINI INAKULA 8/L HADI 9/L SAFARINI HADI 12 INGEKUA INAKULA UNAVOSEMA NSINGEENDESHA KUTOKA KIBAMBA HADI SINZA KWA MSHAHARA WA SERIKALI
 
Wengi walinunua Brevis kwa sifa
Ndani ni nzuri sana, ila wengi wameyashindwa sababu ya 2500 cc V6 engine
Mafuta hapo yanatumika sana.....
Kama unasafari za hapa na pale kwenye barabara za lami zile za mbali itakufaa japo kifo kiko mkononi
Ni toleo la mwaka gani ungeshauri mtu anunue!?
 
Hivi hizi Brevis hazina button unayoweza kubonyeza ikakuaonesha fuel consumption i.e ni 8 km/L kwenye ile navigation panel yake au? Maana Subaru Legacy za kuanzia 2003, Harrier model zote/klugger baadhi ya model, Crown za 2004 na kuendelea zote zinaonesha je kwa mliomiliki hizo Brevis hazina hio Option au maana wengi ni kama vile wanafanya makadirio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…