Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Hazina lakini kwenye screen inabadili mafuta yaliyopo kuwa kms, na geji yako pia itaendelea kusoma kama gari zingine. Uzuri wa brevis ukijua safari yako ni km ngapi huna hofu ya mafuta sababu kila kitu kinaonesha, mpaka namna unavyokanyaga mafuta inakueleza utatembea km ngapi kwa uendeshaji huo
 
Binafsi napenda gari inayoonesha hivyo badala ya zile za kukadiria hii nusu tank nitatembea nayo kwa umbali fulani, ila kitu kilichonishangaza nimeona beforward inauzwa $1330-1900 hio ya $1330 ni ya 2007..mpaka nimevutiwa kulinunua maana Tanzania vitu vya bei poa ndo vyenyewe
 
Nikweli kabisa brevis ni gari ya umeme sana so haiwezi kuwa na engine ndogo.
 
Nafikiri wenye akiri wamesha kuelewa sasa utaona mijitu inakuja kupinga hoja. Na wewe mdau ulie taka ushauri mtafute jamaa anaweza kuwa msaada sana.
 
Sio kweli mkuu. Mimi Nina Brevis 1jz tangu 2015 na bado naitumia hapa mjini nankusafiri mikoani na haijawahi kunisumbua. Nilinunua ikiwa na 66,000km na sasa ina 158,000km. Nilibadili timing belt tu baada ya 100,000km
 
Mkuu Hiyo ukiamua kuuza hata kwa 1 million hutapata Mteja, km huamini jaribu!
Hizo sio Gari aisee, nikiona mtu amenunua Huwa namuonea huruma sana
 
Mkuu Hiyo ukiamua kuuza hata kwa 1 million hutapata Mteja, km huamini jaribu!
Hizo sio Gari aisee, nikiona mtu amenunua Huwa namuonea huruma sana
Bro kwa anayejua nagari 2.5l no gari ambayo engine yake no durable sana. Watu wanaogopa gharama za mafuta kwasababu za kiuchumi lakini so kwasababu ya ubovu wa gari. Mimi Brevis naimudu mafuta kwahiyo haina shida kabisa. Hata Mimi ukinipa vx v8 au BMW 7 series naweza shindwa gharama za mafuta na sio kusema gari inamatatizo mengine.
 
Engine imara, body mbovu...its absolutely nothing!

Binafsi nilishamiliki magari mengi Sana especially haya Madogo ya kufikia hadi 3000cc, kigezo cha fuel consumption Huwa Ni cha mwisho kabisa Katika kuchagua Gari ninalotaka...first Huwa Ni speed, siwezi kuendesha Gari yenye 180k/h, walau ianzie 260+. Mfano sasa Nina Volkswagen Touarage yenye 3200k/h.
 
Sio kweli mkuu. Mimi Nina Brevis 1jz tangu 2015 na bado naitumia hapa mjini nankusafiri mikoani na haijawahi kunisumbua. Nilinunua ikiwa na 66,000km na sasa ina 158,000km. Nilibadili timing belt tu baada ya 100,000km
Kwa injini inayotumia timing chain huwa haibadilishwi labda ikatike..na si rahisi...

Life span ya timing chain ni sawa na life span ya engine..
 
Magari ni kama wanawake...wewe unapomtongoza mwanamke mrembo umchezee siku tatu umtelekeze....kuna mwenzako anamtongoza mrembo na kumfanya mke wa maisha...

Ndivyo ilivyo kwenye magari...kuna mtu ananunua ili alitumie miaka hata 6 ikishapita hata akiuza laki tatu anakuwa hana hasara..kwa sababu kuna kittu kinaitwa depreciation value.

Lakini kuna wengine ananunua gari miezi mitatu analiuza.....
Watu wanatofautiana mitazamo...
Mkuu Hiyo ukiamua kuuza hata kwa 1 million hutapata Mteja, km huamini jaribu!
Hizo sio Gari aisee, nikiona mtu amenunua Huwa namuonea huruma sana
 
Very true watu wengi wanaangalia mafuta na sio performance na comfortability.
 
Mkuu, 1L inaenda km Ngapi hasa mjini kwenye mifoleni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…