Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Ooh safi kwa mchango wako..bado tupate maoni ya wengine pia..
 
Kama unaona brevis nzuri si ununue tu mkuu. Maana inavoonekana umechafanya tafiti
Hapana niliiendesha tu ya aunt yangu nikaipenda..naona utafiti mzuri zaidi pia utakua ata hapa nikipata maoni ya wadau ntajua cha kufanya..maana usije jivisha bomu la nyuklia ukalipaki mwisho siku..

Alaf kingine ata baada ya kumuuliza kuhusu unywaji wese aliniambia tu yy anaweka kila siku ya elf 20 hajui anazungukaje ila kila akitoka getini lazma aweke ya 20 haangalii gauge inasomaje..sa mtu kama huyo sio wa kumuiga..na kamji kenyewe haka tulipo ni kadogo sio kama dsm..
 
Achana na hio gari, kama unaamini unaipenda na unaweza kuigharimu inunue. Ila ujue hamna resale value hapo.
Hapana sio kama naipenda wala hata..bas its a driving style tu na kwa sbb nataka kuapgrade premio old model ndio nikaona hiyo..otherwise ill better go for alteza 3sge.
 
Hahah sijui hata.
 
unajua ununuzi wa gari unategemea na matumizi ya mtu,kuna mtu ananunua gari kwa kuwa tu flani analo,au anapenda muundo pasipo kujiuliza maswali mengi kama ukubwa wa injini n.k
kwa mfano gari kama GX 110 six cylinder unakomaa nalo kwa misele ya Dar si unataka pressure tu..lakini ukiwa na misele ya mbali ukilizubua unaona kweli uko na Gari ya Safari
Brevis ni Gari nzuri sana na wala haina Tatizo,soko tu na usawa wa sasa wa mtanzania ndo maana unaona kama bei iko chini lakini kiukweli gari nyingi zimeshuka bei
 
Sawa mkuu..inawezekana tukiwa na subira zaidi adi mwezi wa kumi tutakua tunachukua adi 5 m kwa namba c iliosimama..
 
Wengi walinunua Brevis kwa sifa
Ndani ni nzuri sana, ila wengi wameyashindwa sababu ya 2500 cc V6 engine
Mafuta hapo yanatumika sana.....
Kama unasafari za hapa na pale kwenye barabara za lami zile za mbali itakufaa japo kifo kiko mkononi
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
ni kweli !
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Kwa hyo Toyota nzima imefungwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hivi, production ya Brevis ndo imestopishwa kama ilivyostopishwa Toyota Progress....spares zinapatikana sana mkuu, sana, shida ya Brevis ni Fuel Consumption basi
 
Kwa hyo Toyota nzima imefungwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hivi, production ya Brevis ndo imestopishwa kama ilivyostopishwa Toyota Progress....spares zinapatikana sana mkuu, sana, shida ya Brevis ni Fuel Consumption basi
hahaaaaaaaa....na spare zake zimejaa na ni similar na product nyingine za Toyota
 
Tuelezeeni wakuu mlioelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…