msomi kutoka znz
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 650
- 2,962
Kama unaona brevis nzuri si ununue tu mkuu. Maana inavoonekana umechafanya tafiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh safi kwa mchango wako..bado tupate maoni ya wengine pia..CC 2500 unafikiri mchezo nini?
Hiyo gari ni nzuri pia inatbia ya kujipandisha na kujishusha bei yenyewe kulingana na mahitaji ya soko, miaka 3 iliyopita brevis imeshuka bei kutokana na ujio wa hizi macX, grande 110, alteza bila kuisahau ist na raum kumechangia sana brevis kuporomoka bei, lakini kwa miezi 6 iliyopita ikaja kurudi tena kwenye ushindani sasa sijui ni kwa nini imeporomoka tena.
Kikubwa sana kwenye hii sector ya automobile ni demand ya soko, usishangae leo hii Bajaji ya TVS kuuzwa bei sawa na hayo magari, Jibu ni kwamba Bajaji inahitajika sana kwenye matumizi ya kawaida na kuna income kwa wamiliki wake.
Hapana niliiendesha tu ya aunt yangu nikaipenda..naona utafiti mzuri zaidi pia utakua ata hapa nikipata maoni ya wadau ntajua cha kufanya..maana usije jivisha bomu la nyuklia ukalipaki mwisho siku..Kama unaona brevis nzuri si ununue tu mkuu. Maana inavoonekana umechafanya tafiti
Achana na hio gari, kama unaamini unaipenda na unaweza kuigharimu inunue. Ila ujue hamna resale value hapo.Hapana niliiendesha tu ya aunt yangu nikaipenda..naona utafiti mzuri zaidi pia utakua ata hapa nikipata maoni ya wadau ntajua cha kufanya..maana usije jivisha bomu la nyuklia ukalipaki mwisho siku..
Hapana sio kama naipenda wala hata..bas its a driving style tu na kwa sbb nataka kuapgrade premio old model ndio nikaona hiyo..otherwise ill better go for alteza 3sge.Achana na hio gari, kama unaamini unaipenda na unaweza kuigharimu inunue. Ila ujue hamna resale value hapo.
Hahah sijui hata.sijui tatizo ni nini maana hiyo GX 100 iko vizuri sana mpaka aliyonunua alikuja kunishukuru hata wese inakula kawaida tofauti na gari niliyonayo sasa hivi but kuuzika ilikuwa ngumu sana niliiweka sokoni mwaka mzima watu wanachungulia wanatereza sasa sijui zina mkosi gani kitaani yaani bora hata Vitz inauzika kirahisi na kwa bei nzuri
Sawa mkuu..inawezekana tukiwa na subira zaidi adi mwezi wa kumi tutakua tunachukua adi 5 m kwa namba c iliosimama..unajua ununuzi wa gari unategemea na matumizi ya mtu,kuna mtu ananunua gari kwa kuwa tu flani analo,au anapenda muundo pasipo kujiuliza maswali mengi kama ukubwa wa injini n.k
kwa mfano gari kama GX 110 six cylinder unakomaa nalo kwa misele ya Dar si unataka pressure tu..lakini ukiwa na misele ya mbali ukilizubua unaona kweli uko na Gari ya Safari
Brevis ni Gari nzuri sana na wala haina Tatizo,soko tu na usawa wa sasa wa mtanzania ndo maana unaona kama bei iko chini lakini kiukweli gari nyingi zimeshuka bei
ni kweli !Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
Kwa hyo Toyota nzima imefungwa? [emoji23][emoji23][emoji23]Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
hahaaaaaaaa....na spare zake zimejaa na ni similar na product nyingine za ToyotaKwa hyo Toyota nzima imefungwa? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sema hivi, production ya Brevis ndo imestopishwa kama ilivyostopishwa Toyota Progress....spares zinapatikana sana mkuu, sana, shida ya Brevis ni Fuel Consumption basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha inamaelezo mengi saana
Tuelezeeni wakuu mlioelewa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii picha inamaelezo mengi saana