Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Gari zote ndogo za mjapan zenye injin ya piston6
Faham ya kuwa ukinunua ujue umefunga nayo ndoa
Sio brevis tu hata markIi GX110 pia GX100 na nyinginezo
Hivi nyie hua mnataka gari inayonusa mafuta kama bajaji au?Kama toyota gx 100/110 unaweza kutembea lita 1 km 9 mpk 10 mnataka nini tena?

Nilishawahi kumiliki Mazda rx 8 ni cc 1300,i google kama utaweza.

Gari inatembea hapo hakuna cha altezza wala nini,Subaru labda hizi wrx sti ndo zilikua zinanisumbua kwenye ma mbio barabarani.

Lkn consumption yake ilikua ni lita 1 kwa km 6 mpk 7 na inakula oil hatari wkt ni cc 1300,na wala haikua mbovu imekua designed hivyo hivyo tangu kiwandani.

So msidanganyane habari za uhusiano wa CC na ulaji wa mafuta aisee.
 
hzo gari zinakula wese hayar nilkuwa naendesha moja hv ina cc 3000 inakula 9km kwa lita hvyo sio mchezo
Sasa hapo una shida gani.Mbona ni km nyingi tu hizo kwa lita 1 au we ulikua unataka ziende lita 1 km ngapi boss?
 
Kiwanda Cha kutengeneza brevis kimefungwa, hazitengenezwi tena, kwahiyo hata spear hazitotengenezwa tena. Ukae ukijua ukilinunua ndo tayari umefunga nalo Ndoa. Watu wanaikimbia sasahivi brevis!!! Nunua ukomeshwe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti umefunga nalo ndoa!
 
Kwenye opa nasikia kuna engine moja ya kuiogopa sana..ambayo huwa inasumbua..ni ipi kati ya hizo apo juu..io ikiharibika mzee ni pasua kichwa sana..em tujuze.
 
Yah!Td 42 ni injini ya cc 4200 na inakula vizuri sana.Dar - Dom ni km 451.Hata ungeweka mafuta ya elfu 75 ungefika tu.Inatumia wastani wa km 12/lita 1.Gari ikiwa nzima kwenye mfumo wa mafuta kama nozel,pump na valves zikiwa safi.
Yeah ni kweli kbsa..c hii inaenda mwaka wa nne tunaitumia ila consumption ni nzuri namna hizo..sa brevis ile sita c matusi hayo.
 


Nnalo apa namhoji anasema ulaji kawaida sana huku gauge ikiwa nusu tank..ila anasema hakikisha haifiki robo tank..ikikukatia mafuta ujue umeipa ugonjwa..
 
Kuna mama anauza brevis yake mil 5 ,anahangaika nayo bado, anasema shida ni kunywa Sana mafuta hadi madalali wenyewe wanaliogopa
Weka picha, weka na bei. Huku mgodini yanawateja kibao.
 
Tatizo kubwa la Brevis, ole wako ukiweka petroli yenye matatizo, engine yake itakutesa kwa matengenezo mpaka utatamani kuitupa!
 
Kwenye opa nasikia kuna engine moja ya kuiogopa sana..ambayo huwa inasumbua..ni ipi kati ya hizo apo juu..io ikiharibika mzee ni pasua kichwa sana..em tujuze.
Duuh sijawahi tumia Opa kiasi cha kuzijua kiundani ila kwa ushauri wangu kama unataka kununua Opa basi hii ya 1.8 L (1ZZFE) petrol engine.
Sababu
1.ni nyingi hivyo upatikanaji wake ni rahisi hata mpya kabisa unapata kwa bei poa
2.ina nguvu(impressive engine power) zaidi kulinganisha na ile nyingine
3.kikubwa zaidi ipo economy kuliko ile nyingine kwa kubalance mafuta vizuri(12-13km/lita1)
 
Natafuta gari nzuri thaman yake isiwe zaidi ya million 04 mkuu naweza pata?
 
Duuh! Sio kwamba bei imeporomoka ni kwamba bei ya sasa ina uhalisia kuliko ya zamani. Tatizo ni kwamba watu walishazoea kuibiwa kwa kupigwa bei za juu.
 
Asante mkuu kwa taarifa..naipendaga pia ile gari ingawa imepita mda ila ukiiweka rims na mziki bado mjini inaonekana..
 
Duuh! Sio kwamba bei imeporomoka ni kwamba bei ya sasa ina uhalisia kuliko ya zamani. Tatizo ni kwamba watu walishazoea kuibiwa kwa kupigwa bei za juu.
Mmmh..nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…