Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
NIlitumia Tsh 60,000 sehemu yenye umbali wa km 330. an average of Tshs 119 /km. Gari langu lina cc2500. Before that nilikuwa na gari ya cc1500, nilikuwa natumia Tsh 50,000 kwa 330 km. What a difference. Kwa hii ya cc2500 ni comfortable driving na hasa nikiwa masafi, na ile ya cc1500 pasua kichwa driving na hasa nikiwa safari. Now, kwa kifupi am happy kuendesha gari hii ya cc2500. za cc1500 nawaachia wanafunzi.Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.