Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Poromoko kubwa la bei kwa Gari aina ya Brevis

Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.
NIlitumia Tsh 60,000 sehemu yenye umbali wa km 330. an average of Tshs 119 /km. Gari langu lina cc2500. Before that nilikuwa na gari ya cc1500, nilikuwa natumia Tsh 50,000 kwa 330 km. What a difference. Kwa hii ya cc2500 ni comfortable driving na hasa nikiwa masafi, na ile ya cc1500 pasua kichwa driving na hasa nikiwa safari. Now, kwa kifupi am happy kuendesha gari hii ya cc2500. za cc1500 nawaachia wanafunzi.
 
woga tu. Na kingine ni jinsi unavyoitumia. Consumption yake ni kati ya 10-12km/l kwa safari, na 6-8km/l kwa town trip. Hizi sio gari kwenda nazo kununulia nyanya na miwa sokoni, ni Luxurious cars. Kama huna uwezo kaa nazo mbali, waachie wenye nazo wakutese.
Duh wacha watu wawe waoga tu maana kms 6 ad 7 kwa petrol na jinsi ilivyo haitulii bei ni kujipa umaskini..better kuchukua subaru legacy gt kama shida ni performance ambayo itaenda kms 9 kiuhakika..
 
Brevis inabwia mafuta kuliko Mark x wakat mark x inakimbia kuliko brevis na spidi inazidi 180 (inakopa) brevis mwisho 182 tu.....ila ni moja kati ya gar comfortable sana.
Bas brevis ni gari ya kuikwepa aisee..haina cha ziada..
 
Thubutuuuuuuuuu Labda kama unaendesha spidi 80 hadi 100.......Moro kwenda Dodoma nlitumia mafuta ya 89,000 nlivyorudi Dar nikatafuta mteja.
Wakati nasafiri na nissan td 42 naweka mafuta ya laki dom adi dar napata na ya mizunguko siku mbili..tofauti na hapo kuna benz old model huwa naitumia ltr 1 inaenda km13 adi 14..
 
hzo gari zinakula wese hayar nilkuwa naendesha moja hv ina cc 3000 inakula 9km kwa lita hvyo sio mchezo
 
Nisaidie tofauti ya raum, apa, spacio na nardia kwenye eneo la ukubwa injini na unywaji wa mafuta...tafadhari.

Spacio Ina Aina mbili za engine moja ni 1.5 litre (1NZFE) na nyingine 1.8 L (1ZZFE) petrol engines ambazo kwa wastani hutembea 12km/lita
Opa nayo Ina Aina mbili za engine ambazo ni 1.8 L (1ZZFE) na 2.0 L (1AZFE) petrol engines ambazo kwa wastani hutembea 13km/lita
Raum nayoifahamu ni - 1.5 i 16V 4WD petrol engine ambayo fuel consumption yake ni 11 l/100km(9km/lita 1) na nyingine ni 7 l/100km(14.2km/lita 1), hapa nadhani anayejua kwa details zaidi atajazia maelezo.
Nadia (SXN10) - 2.0 i petrol engine Fuel consumption 13 l/100 km. (7.6km/lita 1)
Fuel consumption 8 l/100 km(12.5km/lita1) hapa inategemea unatembea wapi kama mjini kwenye mafoleni au upo mwendo kasi unachanja mbuga.
Nimejaribu kufupisha maelezo lakini mwenye kuujua zaidi anaweza kujazia nyama nyama ukashiba mkuu.
 
M. X kwa kiasi fulani imechangia ukijumlisha na wese lazima ujiulize mara mbili mbili.
 
Wakati nasafiri na nissan td 42 naweka mafuta ya laki dom adi dar napata na ya mizunguko siku mbili..tofauti na hapo kuna benz old model huwa naitumia ltr 1 inaenda km13 adi 14..

Yah!Td 42 ni injini ya cc 4200 na inakula vizuri sana.Dar - Dom ni km 451.Hata ungeweka mafuta ya elfu 75 ungefika tu.Inatumia wastani wa km 12/lita 1.Gari ikiwa nzima kwenye mfumo wa mafuta kama nozel,pump na valves zikiwa safi.
 
hiyo gari ni nzuri ila inagharama sana sio upande wa mafuta tu,,hata spear na service(engine oil &gearbox oil) yani inapohitaj kufanyiwa service lazma utoboe mifuko yako ukileta ubahili unaua gari,.,
 
Yah!Td 42 ni injini ya cc 4200 na inakula vizuri sana.Dar - Dom ni km 451.Hata ungeweka mafuta ya elfu 75 ungefika tu.Inatumia wastani wa km 12/lita 1.Gari ikiwa nzima kwenye mfumo wa mafuta kama nozel,pump na valves zikiwa safi.
Sasa hiyo rate si high way/high speed mkuu?...tembea nalo extra urban(kwenye ma-traffic jams) uone balaa lake.
Usilete mchezo na CC4200 mkuu.
 
Kwani wanandoa hawaachani?
Wanaachana lakini baada ya vikao vingi sana vya usuluhishi...yaana namaanisha baada ya kukutana na madalali wenye kila Aina ya ushawishi ndo unaweza liuza gari la namna hiyo, binafsi naziogopa sana hizo gari japo nikiambiwa nichague moja wapo kati ya hizo bado Brevis itakuwa The number 1.
 
Sasa hiyo rate si high way/high speed mkuu?...tembea nalo extra urban(kwenye ma-traffic jams) uone balaa lake.
Usilete mchezo na CC4200 mkuu.

Yah ni kweli mkuu ni high way.Kwa mjini ni km 8 - 10/lita 1.Inategemea na uendeshaji wako(ecomical driving).Hasa ikiwa manual transmission.
 
Back
Top Bottom