Port Alfred in South Africa

Ni kama knysna, george au mossel bay! Weusi kuwakuta miji hiyo ni nadra sana , unless awe pump attendant, supermarket, au anafanya illigal activities.
Ukitaka kuujua ubaguzi wa rangi katika ubora wake, pitia miji hiyo. Must admit ni miji mizuri ,safi na salama sana ndani ya south Africa
 
Mawazo ya Malkia Victoria walipoanza kutawala Afrika ilikua kuwaelimisha wenyeji ili waweze kufanya nao biashara. Lakini mabepari hasa wale waliotajirika katika biashara ya utumwa walisisitiza exploitation ili wapate wafaida.

Kwa mawazo ya Malkia Victoria, sehemu nyingi za Afrika zingekua na maendeleo zaidi ya yale waliyonayo sasa.
 
Maisha ya mtu mweus wa south ni ver poor ndio maana vijana huamua kupiga wageni ..kwa visingizio vya xenophobia ili wapate chochote ..

Kimsing kuna gape kubwa sana kat ya wenye mali na masikini..
 
Makaburu walijiandaa vizuri kabla ya kurudisha utawala kwa wazawa
 

Pamejengwa Vizuri Sana Sijui Walichimba

Nashauri Serikali Yetu Iende Kyerwa

Kuna Ziwa Rushwa Na Mengine Mengi Jirani Na Upoanzia Mto Kagera

Wanaweza Kujenga Kama Hiyo Ya South Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…