Port of Mombasa vs Port of Dar es Salaam

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
Ni wazi kuwa bandari hizi mbili ziko kwenye Mikoa ya pwani ya bara hindi na ijulikane Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati.
Bandari hizi zinatumika na nchi jirani kuingiza mizigo toka sehemu mbali mbali duniani na pia kusafirisha nje mizigo kuelekea sehemu mbali mbali duniani.
Pia ikumbukwe Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa with a 1.5 million TEUs ukilinganisha na 0.5 million TEUs.

Naomba tuchangie huu mjadala zaidi tukiangazia ukuwaji wa hizi bandari na pia changamoto zake.
 
Kaa mkao wakula kupokea mrejesho. Nianze na PTA tower itakayo tumika kama one center yaku clear mizigo bandarini au bandari yenyewe?
 
Ni wazi kuwa bandari hizi mbili ziko kwenye Mikoa ya pwani ya bara hindi na ijulikane Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati.
Bandari hizi zinatumika na nchi jirani kuingiza mizigo toka sehemu mbali mbali duniani na pia kusafirisha nje mizigo kuelekea sehemu mbali mbali duniani.
Pia ikumbukwe Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa with a 1.5 million TEUs ukilinganisha na 0.5 million TEUs.

Naomba tuchangie huu mjadala zaidi tukiangazia ukuwaji wa hizi bandari na pia changamoto zake.

7 of Africa's Biggest Container Ports, in Pictures
 
The biggest and busiest ports in Africa - SIDOMAN
 
Mbona Kenya iko top 10 africa na Tanzania haifiki?
 
but soon ama bado muda tutafika?
Jobless muarabu unasemaje?? Unatafuta kazi kwa port of Malindi??
Screenshot_20180320-180854.png
M
Screenshot_20180320-180854.png
 
Ni wazi kuwa bandari hizi mbili ziko kwenye Mikoa ya pwani ya bara hindi na ijulikane Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa ya Mashariki na Kati.
Bandari hizi zinatumika na nchi jirani kuingiza mizigo toka sehemu mbali mbali duniani na pia kusafirisha nje mizigo kuelekea sehemu mbali mbali duniani.
Pia ikumbukwe Bandari ya Mombasa ndio kubwa ukanda huu wa Africa with a 1.5 million TEUs ukilinganisha na 0.5 million TEUs.

Naomba tuchangie huu mjadala zaidi tukiangazia ukuwaji wa hizi bandari na pia changamoto zake.
Least Developed Country Category: United Republic of Tanzania Profile | Development Policy & Analysis Division
Tanzania imejaa watu wengi na bado tuko LDC
https://www.businessdailyafrica.com...come-status/539546-2773210-qs1wquz/index.html
Kenya hatufiki
 
Back
Top Bottom