Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Aliyekuwa kocha wa Al Ahly ya Nchini Misri ambaye kwa sasa ni Kocha wa Esteghlal FC ya Nchini Iran Pitso Mosimane amesema kocha Nasreddine Nabi hajaambiwa ukweli kuhusu ligi ya Nchini Afrika ya Kusini
Kocha Pisto Mosemane amesema "Nabi anapaswa kuambiwa ukweli.. Ligi ya Afrika Kusini ni ngumu zaidi kuliko ilivyo kwa Tanzania na Morocco"
"Tanzania kuna Yanga na yeye angekuwa si Kocha wao angeona namna ilivyotabu kupata ubingwa mbele yao lakini hapa Afrika Kusini kuna Mamelodi Sundowns ambaye kila Msimu Ubingwa wa Ligi Kuu ni wake na hapo ndio ugumu unapoanzia" "Hii si Ligi ya Morocco wala Tanzania asitumie sana mbinu za huko hazitomsaidia lolote."
Nabi tangu atue katika klabu hiyo julai moja mwaka huu 2024 amesimamia kikosi hicho katika michezo 8 akipata ushindi katika michezo minne akipoteza mitatu na kutoka sare katika mchezo mmoja.
Credit:East Africa