Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Huyo Pogba ndiyo wa Paun Mil 100?anambwelambwela tu.
 
Ngoja tukarudi lazima tuwakamue.mhh amina nan sasa
 
Ureno wanazidi kupata confidence kadiri muda unavyosogea.!
 
huyu kocha wa france naye kama wenger
 
Kwa penalties namwamini kipa wa Portugal
 
Nyongeza ya muda wa kwanza umeisha bado bila bila.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…