Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawahiwa na nani?nomemiona pogba
Hata Mimi nashangaa wa kawaida sanaHuyo Pogba ndiyo wa Paun Mil 100?anambwelambwela tu.
hii game naona kama Sir God mwenyewe kaingilia mnyonge apate haki yake!!!
ThubutuTunajipigia hawa France hamna kitu.
Sasa kama bila Cr7 na Renato bado mnabwela kutufunga mpaka sasa unategemea mtashinda tena?Thubutu