Jamani kwani wao hawajui kupiga matuta?Wareno wanabeba ndoo,Yaani France wamekubali kufika matuta,wawaulize Croatia
Jina kama mzizi, naona wazungu wanasherekea kinafiki hapa.Manyugusiiiiiiii
soka mchezo wa ajabu mkuuSoka haitendi haki, best looser bingwa!