Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Nimepiga bonge ya ukulele hahahahahahhaaa mpira unamidadi mibaya sana daah

Boonge la shutiii hahahahahhaa

France ndo basi tena daah
 
hehehe super sub!!

watu walikua wanai underrate sana portugal

acha kombe liende kwa best loosers
 
Ufaransa walianza kupoteza concentrations dakika ya 100 kuendelea.
Portugal wametumia nafasi vema.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haluaaa haluaaaa
 
Afu muda nao hauendi kabisa
Yaani kama vile wameurudisha nyuma
 
Back
Top Bottom