Game inaendelea
Inauma ushabiki woote French anafungwa nyumbanBaadae ya lini?
Hahah... Anatamani arudi ndaniCR7 kaamua kuwa kocha sasa na mguu wake mbovu lol!
Ukijua kuchagua timu hukosi furahanimefurahi kwakweli
Hahahaah labdaGoli litaludi hapa matuta
pole mkuuNtaludi baadae hali hii haivumiliki
Ndio basi tena2 minute added time
Kaka si mchezo..Wamepaniq wafaransa
Kweli kabisaKwenye maisha tusikate tamaa
Hata watu wakudharau kiasi gani we kaza tu
Ureno walidharauliwa sana na kuonwa si bora ila leo wamebeba kile ambacho wote walikitaka