Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

CR7 kaamua kuwa kocha sasa na mguu wake mbovu lol!
 
Portugal waliingia kama underdogs ila hawajakata tamaaa kamwe
Tusikate tamaa milele
 
Hii huwa inaniudhi sipendi team yangu ifungwe siku imeharibika hivo
 
Kwenye maisha tusikate tamaa
Hata watu wakudharau kiasi gani we kaza tu
Ureno walidharauliwa sana na kuonwa si bora ila leo wamebeba kile ambacho wote walikitaka
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom