Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Na gemu zao nyingi hawajashinda 90 minutes..Kwenye maisha tusikate tamaa
Hata watu wakudharau kiasi gani we kaza tu
Ureno walidharauliwa sana na kuonwa si bora ila leo wamebeba kile ambacho wote walikitaka
Mwaka wake huu, ulaya kaibeba yote club na taifa (uero+uefa)Naona coach ronaldo kapona sasa mguu
Lala tu bosiHii huwa inaniudhi sipendi team yangu ifungwe siku imeharibika hivo
Hii huwa inaniudhi sipendi team yangu ifungwe siku imeharibika hivo
Kifo kichungu sana hiki kiongozi.Pole, kifo chenu harusi yetu
Pyeee walituita underdogsLala tu bosi