Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Na gemu zao nyingi hawajashinda 90 minutes..Kwenye maisha tusikate tamaa
Hata watu wakudharau kiasi gani we kaza tu
Ureno walidharauliwa sana na kuonwa si bora ila leo wamebeba kile ambacho wote walikitaka