Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!


Jamaa hajawahi kuifunga France


Watu washajikusanya hapa
 
Bahati humfuata mtu shujaa ,siku zote aliyekuwa nacho daima huongezewa leo natizama final ya watu wawili wenye bahati kubwa katika medani ya soccer Christian Ronaldo ana kila kitu kweye medani ya soccer na siku ya leo anatakiwa achukue kombe la mataifa ya ulaya ili aweke record yake ya kuwa mchezaji mwenye medal zote za ngazi ya club na kwenye team ya taifa .

Christian Ronaldo ana kipaji bora kabisa ambacho mwenyezi Mungu amempa ila uzuri wake anajua karama yake na anaitendea haki karama yake kwa ubora wa mazoezi na juhudi binafsi na ndio maana kwa umri wake alio nao bado ana nguvu,ana kasi ana uwepesi kama duma,napenda kuona Christian Ronaldo akichukua ubingwa wa Uero 2016 ijapokuwa mimi niTeam France.

Didier Deschamps ambaye ni coach wa National team ya France ameshinda kila kitu kwenye medani ya soccer akiwa kama mchezaji na huwa ni mwenye bahati sana kwa kila anacho gusa kuhusu soccer ,Moja ya final nzuri na tamu ya kuitizama katika siku kabisa na takatifu ya Jumapili .Give a man a soccer ball, he plays for a moment. Teach a man to play soccer, he plays for a life time
 
Huyu dj ana mbwembwe soon tutamkuta kwenye kipindi cha michezo cha EFm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…