Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliokileta kin'gamuzi cha startimes karne hii ni kichwa cha wendawazimu na wamepotea njia ndo maana hutaona mechi leo! [emoji24] [emoji24] [emoji24]Kwani chenyewe kimeletwa karne ya ngapi??
HahahahaNimeanza kukuelewa sasa lol, maana last time nilidhani umekosea [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuko wote, nimeeka hela hukoI'm putting my money on Portugal today. What's up with you guys?.
Mkuu Ufaransa kuna wazungu watatu tu.Oh kumbe!
I wonder kama hao weusi waliopo kwenye hiyo timu hawabaguliwi na wazungu waliomo kwenye timu pamoja na kocha wao Didier Deschamps..
Says who?anymeans ureno bingwa
Mkuu Ufaransa kuna wazungu watatu tu.
Basi hao wazungu wabaguzi sana aisee.