Ki ukweli mimi mwenyewe sija furahia kabsaaaJamaa analia ile mbaya, sikupenda kumuona anatoka. Pigo kubwa kwa Portugal.
Subiri uone maana hawa france walikuwa wanajifunza tu kumkaba ronaldo sasa tumebadili mfumo wa mashambulizi.Hahahaah labda!
Duuuh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JAMAA KAKIMBIA MVUA
Wamemumiza mafala waleMasikini Ronaldo........kafanya sana mazoezi hadi kashindwa fainali. Kweli mkamia maji.......!
Moroco ni wapi?mazoez hana kazidisha kwenda moroco
Dah, sitaji mapema nipo upande gani
Basi tena Portugal tushafungwa kisaikolojia.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa bondia wa matekeMoroco ni wapi?
Haya mkuu muda utatueleza.!Subiri uone maana hawa france walikuwa wanajifunza tu kumkaba ronaldo sasa tumebadili mfumo wa mashambulizi.
Yeye ndio alikuwa anampumulia mmoroco au yeye ndio anapumuliwa??Tatizo Morocco tulimwambia aachane na ile michezo hataki haya,ona mmoroco kamwambia awahi hotelin chap
Ki ukweli mimi mwenyewe sija furahia kabsaaa