MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,607
mkuu jamaa atakuwa kapiga mazoezi kupitiliza. Payet hajamfanya chochte. Ingawa CR alivyoondoka Ureno wamefanya vzr zaid
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu jamaa atakuwa kapiga mazoezi kupitiliza. Payet hajamfanya chochte. Ingawa CR alivyoondoka Ureno wamefanya vzr zaid
HaaaahaaaaaFrom best loser to championiship. Christianoooooooooooooooooooooooooooooo!
hahahaaa naona umeanza kupata nguvu,Mtatupenda tu mabest looser yaani muda huu tumeassume hii team cr7 hajawahi chezea team yetu... Tunapanda na tunashuka.....
Fort Jesus oyeeeee
Waarabu ndio wamebaguliwa
1Hatem Ben arfa
2Benzema
3Ribery
4Adil Rami
5Nabil fekir
Hawa ndio hawapo
Mwambie huyo hana busara za kimichezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mngekuwa na busara mngemuita KING andunjeHiyo hate hata siyo ya ki michezo
Naona kama alikuwa majeruhi b4 game kwa sababu kuanzia mwanza alikuwa anacheza kwa tahadhari sana.Naona anatoka Ronaldo, hawezi tena
Ronaldo hadi kero kudeka.!
Kufanya nini huko?mazoez hana kazidisha kwenda moroco
Kwikwikwikwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Uchochezi huo mkuuWanapendeza.kama UKAWA
Hata wakati anachukua ule mpira alikuea anachukua kwa tahadhali sana...sema payet aliingoa kwa nguvu na kugonga goti like lileNaona kama alikuwa majeruhi b4 game kwa sababu kuanzia mwanza alikuwa anacheza kwa tahadhari sana.