Portugal v France: UEFA EURO2016 Final - Portugal Crown Champions!

Wakuu hii style ya kuanza mpira anasimama mtu mmoja kwenye dimba katikati ni sheria mpya?Maana nimeiona kwenye Euro tu.Ufafanuzi tafadhali.
 
Bora C7 alivyoumia Sanches karudishwa kati na sasa kidogo mpira umebalance maana kati Ureno ilikuwa uchochoro huyu William bure! Sanches jembw
 
Baada ya kutoka ronaldo potugo wamepata nguvu balaa...
 
Naona kama alikuwa majeruhi b4 game kwa sababu kuanzia mwanza alikuwa anacheza kwa tahadhari sana.
Hata wakati anachukua ule mpira alikuea anachukua kwa tahadhali sana...sema payet aliingoa kwa nguvu na kugonga goti like lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…