Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Informer

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,606
Reaction score
6,672

Wakuu,

Nimeona tuwe na thread maana sijaona ikiwepo. Nitajitahidi kuweka updates kadiri nitakavyoweza lakini nikionekana kuzembea naomba mods hii thread wampe atakayeonekana kuwa anatoa updates zaidi yangu.

> How Gareth Bale and Cristiano Ronaldo devote their talent to their teams

> This is the biggest game in Wales' history

> Chris Coleman has the happy knack of delivering with Wales

=======
UPDATES:

10min: POR 0 - 0 WAL

15min: POR 0 - 0 WAL

25min: POR 0 - 0 WAL

30min: POR 0 - 0 WAL

HT: POR 0 - 0 WAL

2nd Half starts...

47min: POR 0 - 0 WAL

50min: POR 1 - 0 WAL (Ronaldo)

53min: POR 2 - 0 WAL (Nani)

65min: POR 2 - 0 WAL

80min: POR 2 - 0 WAL

86min: POR 2 - 0 WAL

90min: POR 2 - 0 WAL

FT: POR 2 - 0 WAL










 
Smh! Hebu acheni za hovyo wales wanashinda aje sasa. Final anenda Portugal bana,
Hahaha acha hizo. Portugal washafaidi raha za ushindi. Wales ni fursa yao kuonja walau fainali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…