Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Ni kweli na mpira ni dakika 90 pamoja na kuwa hawakuanza vizuri ila kibao kinaweza kugeuka, ila Portugal wakiziona nyavu kabla yenu basi kuchomoka itakuwa kazi sana.

ni kweli wales wamezidiwa ila,cha muhimu magoli
 
Ingia google kisha download mobdro kisha install. Ukisha install utakuta channel kibao za mpira kama vile espn, bein spot, sky sport, canal+ na nyinginezo kibao zote zinaonesha mpira tena bila buffering
 
Nifungue links ipi niweze kuona huo mpira please please niko na note 3
 
Portugal katika 45 minutes za kwanza walistahili kuwa mbele japo kwa goli moja.
 
Portugal katika 45 minutes za kwanza walistahili kuwa mbele japo kwa goli moja.

Ngoja tuone hii nusu ya pili itakuwaje.

Naona wanaanza vema
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom