Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Portugal v Wales: Euro 2016 Semi-final

Poleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
 
Hongera mkuu uliko hamia kumelipa
Mimi kesho
Ila ni cr7 fan
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Hivi BAK unaweza kumtwanga ngumi 'kindergarten' ukadai mkanda wa WBA? Please
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hapana sikuhamia baada ya timu zangu kushindwa. Nilikuwa na 4 teams lol! England, Sweden, Portugal na France hata kabla ya mashindano kuanza.

Hongera mkuu uliko hamia kumelipa
Mimi kesho
Ila ni cr7 fan
 
Hapana sikuhamia baada ya timu zangu kushindwa. Nilikuwa na 4 teams lol! England, Sweden, Portugal na France hata kabla ya mashindano kuanza.
Hahaha
Haya hongera original fan
Niko kambi ya ujerumani hapa twafanya maandalizi kesho ana ngolewa mtu meno
 
Lol! Sawa Mkuu nimekuelewa lakini huyu si kindergarten Mkuu hasa ukiangalia performance yake ya mechi za nyuma. Mie nashangaa kusikia kwamba leo walikuwa underdog.

Hivi BAK unaweza kumtwanga ngumi 'kindergarten' ukadai mkanda wa WBA? Please
 
Hapana sikuhamia baada ya timu zangu kushindwa. Nilikuwa na 4 teams lol! England, Sweden, Portugal na France hata kabla ya mashindano kuanza.
Kwenye hizo timu zako muondoe Sweden. List ya timu zangu ilikuwa exactly as yours. Mmoja kafika fainali. Namsubiria mwingine kesho. Naye akitimba,mm nabakia kwa Cr7.
 
Mashabiki wa andunje wanalia na kugugumia ndani kwa ndani huku jamaa yao jela ikimsubiri, teh teh teh
 
Lol! Sawa Mkuu nimekuelewa lakini huyu si kindergarten Mkuu hasa ukiangalia performance yake ya mechi za nyuma. Mie nashangaa kusikia kwamba leo walikuwa underdog.
Nina uhakika Ronaldo atakutana na Jerome Boateng! ndipo utaelewa nini kinatokea Grand MGM Vegas. Kwaleo naugulia tu, nitakuita wiki ijayo!

Ndimi mpenzi wa Kindergaten
 
Poleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
ni mimi peke yangu niliyekuwa na imani na ureno since draw ya kwanza
 
wewe aanze tu,Michel alipiga magoli tisa ndani ya Euro moja,wakati guyu Ronaldo magoli tisa euro nne,sasa hapo wapi na wapi?

Sasa huyo Platin aliyepiga magoli 9 ndani ya Euro moja, manake Euro nyinginezo hakuambulia goli hata moja.

Au alicheza Euro moja tu hiyo hiyo aliyofunga mabao 9...?
 
Hao best losers wakikutana na akina Payet ndoo asubuhi tu.
 
Back
Top Bottom