wewe aanze tu,Michel alipiga magoli tisa ndani ya Euro moja,wakati guyu Ronaldo magoli tisa euro nne,sasa hapo wapi na wapi?Ronaldo ashaifikia rekod ya Platin kupiga goal 9 michuano ya Euro.
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]Team wales
Hongera mkuu uliko hamia kumelipaPoleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
Hivi BAK unaweza kumtwanga ngumi 'kindergarten' ukadai mkanda wa WBA? PleasePoleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
Hongera mkuu uliko hamia kumelipa
Mimi kesho
Ila ni cr7 fan
HahahaHapana sikuhamia baada ya timu zangu kushindwa. Nilikuwa na 4 teams lol! England, Sweden, Portugal na France hata kabla ya mashindano kuanza.
Hivi BAK unaweza kumtwanga ngumi 'kindergarten' ukadai mkanda wa WBA? Please
Kwenye hizo timu zako muondoe Sweden. List ya timu zangu ilikuwa exactly as yours. Mmoja kafika fainali. Namsubiria mwingine kesho. Naye akitimba,mm nabakia kwa Cr7.Hapana sikuhamia baada ya timu zangu kushindwa. Nilikuwa na 4 teams lol! England, Sweden, Portugal na France hata kabla ya mashindano kuanza.
Nina uhakika Ronaldo atakutana na Jerome Boateng! ndipo utaelewa nini kinatokea Grand MGM Vegas. Kwaleo naugulia tu, nitakuita wiki ijayo!Lol! Sawa Mkuu nimekuelewa lakini huyu si kindergarten Mkuu hasa ukiangalia performance yake ya mechi za nyuma. Mie nashangaa kusikia kwamba leo walikuwa underdog.
Wales alishabebeshwa mimba, kajifungua watoto wawili na tayari kishatolewa hospital karudishwa home akalee wanaI'm pulling for the underdog!
Go Wales go!
Wales alishabebeshwa mimba, kajifungua watoto wawili na tayari kishatolewa hospital karudishwa home akalee wanaI'm pulling for the underdog!
Go Wales go!
ni mimi peke yangu niliyekuwa na imani na ureno since draw ya kwanzaPoleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
ni mimi peke yangu niliyekuwa na imani na ureno since draw ya kwanzaPoleni wapenzi wote wa Wales humu kwa kufika semi finals, na hongera sana kwa wapenzi wa Portugal kwa kutinga kwenye EURO 2016 Final hakuna aliyeitegemea timu hii ifike huku.
ni mimi peke yangu niliyekuwa na imani na ureno since draw ya kwanza
wewe aanze tu,Michel alipiga magoli tisa ndani ya Euro moja,wakati guyu Ronaldo magoli tisa euro nne,sasa hapo wapi na wapi?