Portugal is leading for a goal won during the last minutes of extra time of the first half. Iker Casillas rejected a hot-kick from Cristian Ronaldo and Martins kicked off to goal.
Half-time Portugal 1 - Spain 0.
Hatimaye mabingwa wa kombe la dunia 2010, Spain, wamelala kwa 4 yai dhidi ya timu ya Cristian Ronaldo. Kocha wa timu ya Taifa ya Uhispania amekiri kuwa timu yake imecheza utumbo.
siku hazifanani mkuu!,acha tu nina majonzi hapa mwenzio,sina cha kusema,kocha kalaumu wachezaji wamecheza kizembe,sawa sijui sababu ni mechi ya kirafiki,ila poa Ronaldo,Nani na Postiga jana walikuwa mwiba mkali,Ramos alichemsha mno
hii ni highlights za magoli ya mechi hiyo http://www.101greatgoals.com/videodisplay/portugal-spain-7582997/