Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku hazifanani mkuu!,acha tu nina majonzi hapa mwenzio,sina cha kusema,kocha kalaumu wachezaji wamecheza kizembe,sawa sijui sababu ni mechi ya kirafiki,ila poa Ronaldo,Nani na Postiga jana walikuwa mwiba mkali,Ramos alichemsha mnoFT Portugal 4 -0 Spain. Kweli Spain wamechemsha Eishh!