Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,096
POS ni ile mashine kama ya SELCOM au MAX MALIPO .Mzee hiyo POS ni nin nipen shule tofauti na nmb mobile wakala
Ni mashine za uwakala
View attachment 2466268
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POS ni ile mashine kama ya SELCOM au MAX MALIPO .Mzee hiyo POS ni nin nipen shule tofauti na nmb mobile wakala
Asante sana mkuuKwa wanaotafuta hizo mashine, tafadhali chukua tahadhari ifuatayo.
1. Mashine si ya Wakala. Ataitumia mpaka pale benki husika itakapoamua kumnyang'anya au kuifungia. Yeye kakodishiwa tu na wala si mali yake. Ukisoma kwenye mkataba utaelewa vema sana.
2. Hata ukipewa mashine, taarifa zitabaki kuwa za mhusika. Ikiwepo majina na account number. Hivyo utabaki kutumia chini ya mwamvuli wa jina la mtu mwingine. Madhara yake ni kuwa, baadhi ya Mawakala si waaminifu..anakuuzia mashine kisha ataenda bank kuwithdraw kiasi cha pesa bila idhini yako. Au wakala kufariki, huwezi kutoa pesa yeyote.
3. Gharama ya POS ni 500,000 kwa 350,000. Haiwezekani mtu kukuuzia chini ya hapo. Usipende mteremko.
4. Mashine zimefungwa GPS, na zinapaswa kuoperate katika eneo alilosajillwa wakala. Yaani katika eneo ambalo tawi lilimuidhinisha Wakala. Ikitokea mashine zikasafirishwa kwenda kufanya biashara sehemu nyingine basi benki wana uwezo wa kuifungia isiendelee kufanya kazi. Kwa mantiki ya kuwa huenda mashine imeibiwa.
5. Taarifa za akaunti zote utapaswa kuwasiliana na mwenye POS. Uwe unahitaji Statement au mashine imepata hitilafu basi lazima jamaa ndiyo alihangaikie. Utasababisha usumbufu na gharama baina yako na aliyekuuzia.
Endapo umempata mtu mwenye mashine na hataki tena, wasiliana na benki husika. Mkutane na BDO, afanye tu transfer ya taarifa zake kwenda kwako. Itakusaidia na kukulinda..
Cc
Rukie
Hassan TZA
Ulipata eh?Heri ya krismasi ndugu zangu
Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB.
Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nlipo wengi wanakadi
Kama una ndugu yako ambaye anazo na hazitumii naomba niunganishe nae
Boss umeongea sahihi ila binafsi kitu nilichofanya nilimtafuta wakala Ambae ana machine ya NMB nikatangaza offer yangu binafsi nilimlipa 1m lakini awali nilikuwa nimeunganishwa na NMB kwa simuKwa wanaotafuta hizo mashine, tafadhali chukua tahadhari ifuatayo.
1. Mashine si ya Wakala. Ataitumia mpaka pale benki husika itakapoamua kumnyang'anya au kuifungia. Yeye kakodishiwa tu na wala si mali yake. Ukisoma kwenye mkataba utaelewa vema sana.
2. Hata ukipewa mashine, taarifa zitabaki kuwa za mhusika. Ikiwepo majina na account number. Hivyo utabaki kutumia chini ya mwamvuli wa jina la mtu mwingine. Madhara yake ni kuwa, baadhi ya Mawakala si waaminifu..anakuuzia mashine kisha ataenda bank kuwithdraw kiasi cha pesa bila idhini yako. Au wakala kufariki, huwezi kutoa pesa yeyote.
3. Gharama ya POS ni 500,000 kwa 350,000. Haiwezekani mtu kukuuzia chini ya hapo. Usipende mteremko.
4. Mashine zimefungwa GPS, na zinapaswa kuoperate katika eneo alilosajillwa wakala. Yaani katika eneo ambalo tawi lilimuidhinisha Wakala. Ikitokea mashine zikasafirishwa kwenda kufanya biashara sehemu nyingine basi benki wana uwezo wa kuifungia isiendelee kufanya kazi. Kwa mantiki ya kuwa huenda mashine imeibiwa.
5. Taarifa za akaunti zote utapaswa kuwasiliana na mwenye POS. Uwe unahitaji Statement au mashine imepata hitilafu basi lazima jamaa ndiyo alihangaikie. Utasababisha usumbufu na gharama baina yako na aliyekuuzia.
Endapo umempata mtu mwenye mashine na hataki tena, wasiliana na benki husika. Mkutane na BDO, afanye tu transfer ya taarifa zake kwenda kwako. Itakusaidia na kukulinda..
Cc
Rukie
Hassan TZA
Boss umeongea sahihi ila binafsi kitu nilichofanya nilimtafuta wakala Ambae ana machine ya NMB nikatangaza offer yangu binafsi nilimlipa 1m lakini awali nilikuwa nimeunganishwa na NMB kwa simu
Baada ya kuwa tumekubaliana tulienda Benki ya NMB Mimi nikawasiliana na Champion wangu tukahamisha taarifa (Tuliondoa taarifa zake kwenye machine tukaweka zangu) ila hii ni baada ya kuwa nimekidhi vigezo vya wakala
Na kuhusu ada ya machine kama ifuatavyo
NMB ada ya uwakala ni 200k kwa machine za kizamani za Bitel na 500k kwa machine za kisasa za smart (angalizo ukiwa unamvua mtu machine unatakiwa kulipia Tena ada ya uwakala nje ya pesa utaomlipa unaemvua au kutegemea na makubaliano yenu )
N.B
Hairuhusiwi kutumia machine yenye taarifa za mtu mwingine
Vyote vinafanana na havitengeni Wala si kuwaza which is which. Ukifuata utaratibu wa huduma huwezi kupotezaKwa beginner, ili kupunguza risk za kutapeliwa/kuibiwa na wateja, kipi ni better kati ya:
a) Uwakala miamala ya simu (m-pesa, Tigopesa, halopesa, Airtel money);
b) Uwakala miamala ya kibank (crdb na nmb).
Yaani mtu aanze na kimojawapo tu. Kwa kuzingatia kigezo cha usalama wa mtaji, kipi ni bora?
MkuuKwa beginner, ili kupunguza risk za kutapeliwa/kuibiwa na wateja, kipi ni better kati ya:
a) Uwakala miamala ya simu (m-pesa, Tigopesa, halopesa, Airtel money);
b) Uwakala miamala ya kibank (crdb na nmb).
Yaani mtu aanze na kimojawapo tu. Kwa kuzingatia kigezo cha usalama wa mtaji, kipi ni bora?
Mkuu
Pm mkuuNaam mkuu