POS software -RESTAURANT SERVICES

POS software -RESTAURANT SERVICES

KiparaDar

Member
Joined
Mar 20, 2007
Posts
66
Reaction score
30
Wadau naombeni msaada wa mwenye kuwa na hiyo software.ni ujasiriamali wa chakula cha bei rahisi kwenye university moja hapa nchini.serving almost 2000 people a day,sina uelewa mkubwa sana lakini nahisi ni muda muafaka wa kuweka hilo.
 
Jaribu kum-pm georgie-porgie!
ANGALIZO:it is never free of charge
 
Jaribu kum-pm georgie-porgie!
ANGALIZO:it is never free of charge
hahahaaaaa, kama kawaida!!.
nadhani mkuu unajua na unamaanisha ulichoandika!.
 
Wadau naombeni msaada wa mwenye kuwa na hiyo software.ni ujasiriamali wa chakula cha bei rahisi kwenye university moja hapa nchini.serving almost 2000 people a day,sina uelewa mkubwa sana lakini nahisi ni muda muafaka wa kuweka hilo.

What is POS...? is this different from Point Of Sales..?
 
exactly, the same!.
POS ni software yoyote ile inayotumika kwenye sehemu ya biashara, iwe mgahawa, bar, supermarket etc.
mfano mzuri wa POS NI PILOT software.
 
mwaga mboga mtaalamu!.....
 
GP tunaomba ufafa-nuzi? in this context

POS = ?

Proof Of Service?
Point Of Service?
Point Of Sale?

POINT OF SALE.
Point of sale (POS) or checkout is the location where a transaction occurs. A "checkout" refers to a POS terminal or more generally to the hardware and software used for checkouts, the equivalent of an electronic cash register. A POS terminal manages the selling process by a salesperson accessible interface. The same system allows the creation and printing of the voucher.
 
twende kazi baba!......................😀
 
POINT OF SALE TERMINALS
Cash_Registers.JPG

POINT OF SALE SOFTWARE
cpmain.gif

POINT OF SALE SYSTEM(hardware+software)
pos_hardware.jpg
 
wakuu,hayo mapicha ya gorge porjie ndio hasaaa yenyewe,nikuPM george tufanye biashara hapo!
 
wakuu,hayo mapicha ya gorge porjie ndio hasaaa yenyewe,nimekuPM george tufanye biashara hapo!
 
Mdau hiyo Restaurant plus Pos inauzwa dollar 595, ila nipe bajeti yako nakupatia kesho fastaa
 
exactly, the same!.
POS ni software yoyote ile inayotumika kwenye sehemu ya biashara, iwe mgahawa, bar, supermarket etc.
mfano mzuri wa POS NI PILOT software.

what is the difference btn the pos(software) tht ur talking and the pos(hardware) which is used to pay by just rubbing ur debit cards.
 
mambo hadharani mkuu!wasije wakaniumiza huko kwenye PM,hy figure iko ndani ya budget mkuu geoff,ina features gani hiyo ya kwako?
 
Back
Top Bottom