habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
mwambie ampe mimba
mwambie ampe mimba
Wahakikishieni mshiko wa kila mwezi utaendelea kupelekwa! Pengine wana hofu akiwa mke mtoto wao hatowapelekea posho kwa vile sasa hatokuwa na mshahara!habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
Unajua mambo haya mlikosea mwanzo, kwa hiyo mnatakiwa mfanye vizuri na kwa utaratibu.
1. Wanatakiwa watu wazima wafunge safari mpaka huko Tanga na mkaongee nao ana kwa ana, na hilo watajua mmewaheshimu.
2. Inawezekana kunamaneno furani wanayasikia kuhusu familia yenu, yanayowafanya waone binti yao atadharauliwa hawawezi kusema hivi, hivi bila sababu. Kwa hiyo kitendo cha kwenda Tanga na kuongea nao itasaidia sana kujisafisha.
Ivuga una akili sana. Hiyo ndio njia pekee ya kumteka...
Wabondei watamu sana wale, afu wana 'care' ya hali ya juu.
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
huyo ndugu yako alipoamua kutangaza nia, alichunguza kama hilo jimbo liko wazi?habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?