posa yetu imekataliwa

posa yetu imekataliwa

habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?

labda wamekataa hiyo posa for other reasons lakini reason walizotoa hazina mashiko
 
Mnalilia kuoa sehemu humtakiwi, lini mtajithamini nyie.
 
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
Wahakikishieni mshiko wa kila mwezi utaendelea kupelekwa! Pengine wana hofu akiwa mke mtoto wao hatowapelekea posho kwa vile sasa hatokuwa na mshahara!
 
Unajua mambo haya mlikosea mwanzo, kwa hiyo mnatakiwa mfanye vizuri na kwa utaratibu.
1. Wanatakiwa watu wazima wafunge safari mpaka huko Tanga na mkaongee nao ana kwa ana, na hilo watajua mmewaheshimu.
2. Inawezekana kunamaneno furani wanayasikia kuhusu familia yenu, yanayowafanya waone binti yao atadharauliwa hawawezi kusema hivi, hivi bila sababu. Kwa hiyo kitendo cha kwenda Tanga na kuongea nao itasaidia sana kujisafisha.

hapo kwny red ni ule utaratibu wao wa mkuki mlangoni
 
Labda wanahofia tohara Maana baadhi ya wamasai wana culture ya ajabu kutahiri ma binti
 
dada nyie mmekataliwa, izo sababu wala hazihold water kabisaa.
zaman ndio walikuwa wanaishu za ukabila mnyaki kumuoa mchaga ishu ooh mwane2 anaenda mbali ivo. wanagoma kwa ss watu wanaoana na kubaki hapahapa mjin pia kama ishu ni kudharaurika me nadhan akiolewa anapenda cheo frm mdada msaisiz to mkwe hapo ss dharau ikowap?? in short bibie itakuwa kaandaliwa mdigo uko kwaio huyo ole naniu ajipange tena.
halafu bibie yy msimamo wake ni up ktk hiloo??
 
mimba itaingiaje wkt bint kafichwa huko muheza
 
Maamuzi yao yana maana, kama mtoto wao alikuja kwenu kama House Girl, inakuwaje tena ageuzwe mke? Kwa vyovyote vile ni lazima wahisi manyanyaso katika mida ya baadaye hasa ikitokea bahati mbaya penzi likachuja.
 
Huyo kaka yako angalia sana atakuwa anawakosesha ma house girl kama mtindo wake ni huo!
 
vp unashangaa! wanajua kuwa mwanao atakuwa mke wa kila mmaasai si unajua jinsi mlivyokosa wivu kwa wanawake wenu nyie
 
Tatizo hiyo posa mmeituma kwa posta au nini??? Maana unasema wamerudisha majibu.....

Nendeni tena mguu kwa mguu mtafanikiwa..............

Ningekuwa mimi natia mimba halafu biashara zingine baadae
 
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?

Mshenga alikuwa kabila gani? Wabondei shurtu utumie Mbondei mwenzao.........poleni
 
habari, mimi ni kaka yangu ambae ni pacha yangu, yeye alitokea kumpenda kabinti chetu cha kazi ana miaka 2O elimu yake ni darasa la 7, baada ya kuwa na uhusiano wa siri kwa miaka miwili osidai akaamua kutangaza nia wazee wakatuma mshenga mpaka tanga kwa binti kupeleka barua afta cku mbili tukarudishiwa majibu kuwa hawataki binti yao aolewe kwetu kisa muoaji ni mtoto wa bosi na bint yao ni mfanyakazi et tutamdharau, pia sisi ni wamasai wao ni wabondei... iv jaman bado kuna ukabila tz mpaka leo?
huyo ndugu yako alipoamua kutangaza nia, alichunguza kama hilo jimbo liko wazi?
 
Back
Top Bottom