posa yetu imekataliwa

posa yetu imekataliwa

Niliwahi kuwemo kwenye masfara mmoja wa posa......tukaambiwa tulete mbuzi namakorokoro mengine......sisi hao mbio vingunguti na Corolla tuakmtia mbuzi kwenye buti......kurudi tukaambiwa tuweke kambi baa jirani kusubiri kuitwa......muda ukaenda na bia zikanyweka....hamadi ile kuitwa na kufungaua buti mbuzi kibudu........
 
Mpe pole huyo kaka yako,km hata mkienda kumbembeleza wataendelea kugoma achanen naye,
Coz anaweza msumbua sana huko mbele ya safari yani atakuwa hata akizingua tua akionywa atasema anadharauliwa,
Mwambie aombe mungu atampatia aliye wake na atamkubalia bila masharti wala malalamiko yoyote!
 
Back
Top Bottom