Posh Queen: Mpenzi wangu anapata tabu sana

Lete namba mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu huyu dem ni mbaya angalia kwa ukaribu hiyo sura yake hiyo pic ya juu aliyovaa nguo nyeupe...ni polygon aisee...
Huyu dada hajielewi umbo la siliconi unalo wewe tabu apate mpenzi wako how? Wewe ndio unaopata tabu kuzidiwa na minyama ya silicon mwilini full stop.
 
Yeye mwenyewe hajionei huruma maana siku mavitu aliyoyaweka yakianza kuleta athari tutatafutana humu maana kipindi cha nyuma hakuaga hivyo alikua flat flat hivi
PICHA YA BEFORE UNAYO?
 
HAPA KAZI IPO
 
Hahahaha eti vigezo vya sheikh kipozeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sio original...uyu manz tangu kwa mujibu had chuo mwaka wa pili hakua na hyo shape...

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…