lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
Aah babu bi mkubwa wake mweupe kabisa mkuu unajua tako wewe afu huyo demu hana tako hayo ma hips yameoagawisha watu washazeoea mademu viuno saizi kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah babu bi mkubwa wake mweupe kabisa mkuu unajua tako wewe afu huyo demu hana tako hayo ma hips yameoagawisha watu washazeoea mademu viuno saizi kubwa
Lete namba mkuuHapa umemaliza fitna na uzushi wa kibongo bongo!formula ukiona vitu fake basi jua original vipo!
Mimi mwenyewe nina cousin wangu ana vigezo vya sheikh kipozeo hatar nae karithi kwa aunt yetu amabe nae karith kwa bibi yetu !
Ila kama ujuavyo kibongo bongo hawakubaliani na majaaliwa ya mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada hajielewi umbo la siliconi unalo wewe tabu apate mpenzi wako how? Wewe ndio unaopata tabu kuzidiwa na minyama ya silicon mwilini full stop.
Demu wa kawaida kafanana na mshua wake.Alafu huyu dem ni mbaya angalia kwa ukaribu hiyo sura yake hiyo pic ya juu aliyovaa nguo nyeupe...ni polygon aisee...
PICHA YA BEFORE UNAYO?Yeye mwenyewe hajionei huruma maana siku mavitu aliyoyaweka yakianza kuleta athari tutatafutana humu maana kipindi cha nyuma hakuaga hivyo alikua flat flat hivi
HAPA KAZI IPOJacqueline obed ‘Poshy Queen’![]()
ANAPATA tabu sana!
Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata, Jacqueline obed ‘Poshy Queen’ amefunguka kuwa anamuonea huruma mpenzi wake kwa vile anapata tabu sana kutokana na umbo lake.
Poshy alisema kutokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume wenye uchu wanaotaka kuwa na uhusiano naye kimapenzi, mpenzi wake huwa anapitia kipindi kigumu.
![]()
“Kuna wakati namuonea huruma kutokana na usumbufu ninaoupata hivyo huwa anajitahidi kupambana na hali hiyo. Kuna wakati unamuona kabisa amekata tamaa, lakini nampa moyo kila siku,” alisema
Kama ndivyo huyu lembebez anepata urithi mzuri sana, upstairs nasikia nako si kubaya sawasawa na maza mzaa chema!Wewe huyu dem unamjua?huo mkundu amerithi kutoka kwa mama yake.
View attachment 980008
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata zile Methadone mkuu.mkuu,naskia eti siku hizi hata ARV's zinafanya watu wawe hivyo?
PICHA YA BEFORE UNAYO?
Hahahaha eti vigezo vya sheikh kipozeoHapa umemaliza fitna na uzushi wa kibongo bongo!formula ukiona vitu fake basi jua original vipo!
Mimi mwenyewe nina cousin wangu ana vigezo vya sheikh kipozeo hatar nae karithi kwa aunt yetu amabe nae karith kwa bibi yetu !
Ila kama ujuavyo kibongo bongo hawakubaliani na majaaliwa ya mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namjua uyu dem,,poshy hakua hivo...kaangalie picha zake za zaman...alikua na hips flan iv fresh tu..sema akajaga kupungua kwaajil ya mashindano ya umis, then ndo akaja kuchonga hyo figure...Wewe huyu dem unamjua?huo mkundu amerithi kutoka kwa mama yake.
View attachment 980008
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii hapa mkuuPICHA YA BEFORE UNAYO?
Hii sio original...uyu manz tangu kwa mujibu had chuo mwaka wa pili hakua na hyo shape...Hapa umemaliza fitna na uzushi wa kibongo bongo!formula ukiona vitu fake basi jua original vipo!
Mimi mwenyewe nina cousin wangu ana vigezo vya sheikh kipozeo hatar nae karithi kwa aunt yetu amabe nae karith kwa bibi yetu !
Ila kama ujuavyo kibongo bongo hawakubaliani na majaaliwa ya mtu!
Sent using Jamii Forums mobile app
MMMH HAWA VIUMBE BALAA AISEEHii hapa mkuu